Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 533
- 1,122
Acha mambo ya kisengerema,kwa hiyo unapadharau mzumbe??Karibuni kwenye tanuru la elimu UD... Kama wewe ni kilaza au ulifaulu kwa bahati bahati, UDSM panaweza pasiwe mahali salama sana kwako...
Ni bora uende Mzumbe au IFM au vyuo vingine ambavyo vina system ya kurudia mwaka. UD hakuna system hiyo. Wakikula kichwa unakwenda na maji...
Sent using Jamii Forums mobile app