Udahili UDSM tayari umefunguliwa

Udahili UDSM tayari umefunguliwa

Karibuni kwenye tanuru la elimu UD... Kama wewe ni kilaza au ulifaulu kwa bahati bahati, UDSM panaweza pasiwe mahali salama sana kwako...

Ni bora uende Mzumbe au IFM au vyuo vingine ambavyo vina system ya kurudia mwaka. UD hakuna system hiyo. Wakikula kichwa unakwenda na maji...
 
Acha utoto bwana. Unaanza league za kishamba.
 
Hii sio league. Ninawapa fact. UD ukishindwa kufikisha GPA ya 1.8 unakuwa discountiued, ila hivyo vyuo vingine unapewa option ya kurudia mwaka. Huu ushauri nimeutoa kwa wale ambao wanajitambua wana uwezo mdogo wa darasani...
 
Karibuni kwenye tanuru la elimu UD... Kama wewe ni kilaza au ulifaulu kwa bahati bahati, UDSM panaweza pasiwe mahali salama sana kwako...

Ni bora uende Mzumbe au IFM au vyuo vingine ambavyo vina system ya kurudia mwaka. UD hakuna system hiyo. Wakikula kichwa unakwenda na maji...
kuna baadh ya kozi,ila kwa kozii yako nahc hata 3 ya mwsho ntasoma
 
Kwenye registration ya UDSM online admission nikiweka e-mail address yangu inaniambia it has already taken, na nimeshajaribu e-mail address zimefikia tatu bado tatizo lile lile, mwenye uelewa zaidi anifahamishe, may be kuna sehemu nakosea.
 
Udsm ilikuwa zamani kwa sasa siwezi kumshauri ndugu yangu kuomba akasomee udsm.
 
Karibuni kwenye tanuru la elimu UD... Kama wewe ni kilaza au ulifaulu kwa bahati bahati, UDSM panaweza pasiwe mahali salama sana kwako...

Ni bora uende Mzumbe au IFM au vyuo vingine ambavyo vina system ya kurudia mwaka. UD hakuna system hiyo. Wakikula kichwa unakwenda na maji...
Acha uongo wakati kuna wadada wa sheria kama wawatatu hivi nawajua walirudia mwaka hapo chuoni...acha kutisha watu
 
Hii sio league. Ninawapa fact. UD ukishindwa kufikisha GPA ya 1.8 unakuwa discountiued, ila hivyo vyuo vingine unapewa option ya kurudia mwaka. Huu ushauri nimeutoa kwa wale ambao wanajitambua wana uwezo mdogo wa darasani...
Acha uongo sio UD pekeee
Hata UDOM na vyuo vingne usipofikisha hyo ni nyumban
 
Naaply system inazingua kwenye malipo wameelekeza unaweza lipa kwa mpesa tigo pesa au bank sasa nataka kulipa kwa tigopesa inasema niattach bank slip.
 
Back
Top Bottom