Uda mikononi mwa jackbauer!

Uda mikononi mwa jackbauer!

ina maana Uda huyu huyu.........!!!
avatar32607_3.gif
uda huyu huyu,atakuja kuthibitisha!
 
Haya Mkuu....................... ila siku tukiitana shemeji na majamaa wakianza kuuliza kati yetu nani anamkanyagia mwenzake mpaka tunaitana shemeji usiseme we ndo unanikanyagia sawa?
ha ha ha !usiwe na wasi shemeji.
 
Chereko Chereko...... Fanya fasta tuanze kushona nguo za Kitchen party, Send off and finally wedding.....
Nina mood ya kuparty jamani....
 
Back
Top Bottom