UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

Hii sub imekaa kifala sana
Mbona ni nzuri sana.

Leo Gnabry hayuko sawa na kutolewa kwa Coman nadhani ni mbinu za kocha kwa jinsi game ilivyobakia. Perisic anasaidia zaidi kwenye kukaba kuliko Coman.

Pia Coutinho ni mzuri vile vile akicheza wide.
 
Kweli mkubwa mkubwa tu,PSG naona utoto mwingi,Naymar anakwenda anakwenda nyingi,Mbape nae haonekani.......
 
Back
Top Bottom