Fafanua mkuuNimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.
Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.
Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.
1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)
Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani
Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).
Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.
A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Mkuu point A haijaeleweka justifyNimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa.
Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli najikuta nikiwaza na kumsii Mungu kama nakosea aniepushe na fikra hizi. Ila kuwaza mambo haya sio kukufuru maana nitakuwa na ushahidi fulani hapa.
Mungu ameonyesha kiwango fulani ccja mwanadamu kuishi katika Dunia na alibadili kwa kila baada ya muda.
Kwa sasa tumepewa miaka 70 tu katika maisha ya kawaida, je Mungu ni muongo maana Kuna watu wanazidi hiyo sabini na wengine wanapungua katika hiyo. Sasa angalia nini kinachosababisha kutokana na uchunguzi wangu.
1. Uchunguzi wa kikawaida(normal investigation)
2. Uchunguzi wa kidini(Religion investigations)
Hapa ntatumia uchunguzi wa kawaida hauhusiani na Imani
Kwanza kifo ni Hali ya roho na mwili kutengana, hivyo roho inaondoka au inatoka na kuacha mwili.
Mwili hauwezi kufanya kitu pasipo roho labda kuwe na seli hai zilizobakia kwa mda mchache baada ya roho kutoka(ntaelezea mkitaka).
Sasa twende kwenye Mada kwa nin tunakufa kwa kutofautiana umri.
A. Muda wa kuanza tendo la ndoa baada ya kubalehe au kuvunja ungo
B. Ufanyaji wa mapenzi
C. Shughuli tunazofanya
D. Ulaji
E. Uzembe wa kujilinda
Kumbe hapa ndo tumeachwa kwenye mataaelezea hizo pointi mfano muda wa kufanya mapenzi una nini hasa
Mtu akiwa anaelekea kufa anakuwa anajua???
Ni balaa sana mkuuMtu akiwa anaelekea kufa anakuwa anajua???
Na kwann ajue wakati hana experience na kufa??
Wewe una amini origin ya uhai ni niniKwanza huyo Mungu hayupo na roho haipo.
Hakuna Mungu aliyeweka umri wa miaka 70 wa binadamu kuishi.
Hizo ni hekaya za vitabuni tu.
Hizi zote ni stori zinazo elezewa na watu walio hai.
Naunga mkono hoja kakaHizi zote ni stori zinazo elezewa na watu walio hai.
Na wala hawajawahi kufa.
Hivyo huwezi kuelezea kitu ambacho huna experience nacho, Huko itakuwa ni kudanganya watu tu.
Mimi siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile.Wewe una amini origin ya uhai ni nini
Sasa kwanini uhai una mwisho kama hauna mwanzo??Mimi siamini kwenye kuamini, Sina imani ya aina yeyote ile.
Uhai hauna origin.
Kama kila kitu lazima kiwe na origin, Hata "Origin ya uhai" lazima iwe na origin yake.
Hivyo kutakuwa na "Origins" nyingi zisizo na mwisho.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo "origin" Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo origin.