Hii issue ya huyu jamaa nimeona kuna vitu viwili vilivyotumiwa na wengi kumhukumu kuwa ni gaidi.
- Kofia aliyokuwa amevaa; hii inatumiwa na dini ya Hamza, ni kielelezo cha kuwa muumini wa dini fulani, kwasababu hii naamini polisi na uchunguzi wao wakamaliza huyu alikuwa gaidi.
- Kutaja jina la "Allah"; pia jina hilo hutumiwa na dini ya Hamza kumuwakilisha Mungu wao, hapa pia jamaa zangu wakaunganisha matukio wakapata jibu walilotaka.
Mwishowe, jamaa zangu walipounganisha matukio ndio wakaja na jibu walilokuja nalo, ukiunganisha na silaha aliyoitumia Hamza kuwashambulia polisi ndio neno gaidi likazaliwa.
Lakini kiuhalisia, nikitazama mlolongo wa matukio uliotufikisha hapo, naona "inawezekana" Hamza alikuwa na tatizo lake binafsi na polisi, kipo alichofanyiwa, na kwa mtazamo wake akaona hawa polisi wananifanyia/tufanyia hivi kwasababu ya dini yetu, ndio maana akatamka yale maneno kwenye ile video, ndio matokeo yake kikatokea kilichotokea.
Dawa ya kumaliza hii issue, Tume Huru ije kuchunguza itoe majibu mjadala ufungwe.
Polisi ni watuhumiwa alafu wanachunguza wenyewe. AIbu kubwa sn
Ni sawa na mtabiri wa hali ya hewa kutabiri mvua ilinyesha kwasababu kulikua na mawingu.
Ni sawa na kumpulizia perfume mwenye kinyesi badala ya kumuogesha.Nami nadhani nina haki ya kutabiri:
"Hili ni kama la kuvunda. Wanavyo lifunika dunia litavunda tena."
Polisi kama jeshi walitakiwa kujitathmini kuhusiana na haki, rushwa, dhuluma na manyanyaso wanayo wapa watu wasio na hatia.
Kwan Gaidi ni mtu gan?
Ilo swali hakuna anayeweza kulijibu hadharani lakini kwenye mioyo yao kwa kusukumwa na chuki ya kidini basi jibu lao ni uislamu.Kwan Gaidi ni mtu gan?
Hakika kabisa mdauSijui kwanini hii ishu ya Hamza imenifanya nikakumbuka kisa cha SAID ABDALLAH SIULANGA MWAMWINDI VS Dr. WILBERT KLERUU
Ingekuwa wakati huu wangempachika ugaidi hasa ukizingatia alikuwa anafuga ndevu.Sijui kwanini hii ishu ya Hamza imenifanya nikakumbuka kisa cha SAID ABDALLAH SIULANGA MWAMWINDI VS Dr. WILBERT KLERUU
Siku hizi yeyote tu yule unaweza kumwita gaidi ,yani ni wewe tu ndio unaamua nani umwite gaidi kwa sababu zako mwenyewe.Kwan Gaidi ni mtu gan?
Zungumzia na Ile video aliyokuwa amerekodiwa na abiria waliokuwa kwenye Ile Basi iliyokuwa kwenye eneo la tukio akiongea Yale maneno yanamaanisha nini.Hii issue ya huyu jamaa nimeona kuna vitu viwili vilivyotumiwa na wengi kumhukumu kuwa ni gaidi.
- Kofia aliyokuwa amevaa; hii inatumiwa na dini ya Hamza, ni kielelezo cha kuwa muumini wa dini fulani, kwasababu hii naamini polisi na uchunguzi wao wakamaliza huyu alikuwa gaidi.
- Kutaja jina la "Allah"; pia jina hilo hutumiwa na dini ya Hamza kumuwakilisha Mungu wao, hapa pia jamaa zangu wakaunganisha matukio wakapata jibu walilotaka.
Mwishowe, jamaa zangu walipounganisha matukio ndio wakaja na jibu walilokuja nalo, ukiunganisha na silaha aliyoitumia Hamza kuwashambulia polisi ndio neno gaidi likazaliwa.
Lakini kiuhalisia, nikitazama mlolongo wa matukio uliotufikisha hapo, naona "inawezekana" Hamza alikuwa na tatizo lake binafsi na polisi, kipo alichofanyiwa, na kwa mtazamo wake akaona hawa polisi wananifanyia/tufanyia hivi kwasababu ya dini yetu, ndio maana akatamka yale maneno kwenye ile video, ndio matokeo yake kikatokea kilichotokea.
Dawa ya kumaliza hii issue, Tume Huru ije kuchunguza itoe majibu mjadala ufungwe.
Beberu anamwelezea gaidi vyema kama hivi:
"a person who uses unlawful violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims."
Ugaidi kama hivi:
"unlawfully using violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims."
Gaidi hulenga raia. Gaidi ana malengo ya kisiasa.
Ilo swali hakuna anayeweza kulijibu hadharani lakini kwenye mioyo yao kwa kusukumwa na chuki ya kidini basi jibu lao ni uislamu.