Uchunguzi kuhusu wadada wenye mvuto wa nje

Uchunguzi kuhusu wadada wenye mvuto wa nje

Tatizo huna personality na mkwanja hayo yote yasinge kutokea.....karne hii bado unaamini katika uhandsome labda ndio maana kuna mtu amekwambia wewe bado mtoto na hivi BRN mmeshamaliza
 
mtoa maada upo sawa.....nawashangaa hao wanaobeza.... kwani kuainisha matatizo ya kijamii ni mbaya?

Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake....

Kwahiyo na wewe kwa elimu uliyosoma kwa miaka yote hilo nalo unaliona ni tatizo la kijamii....BRN
 
Hii nchi kama vijana wake ndio wanashinda wakiwaza vitu kama hivi tumeisha.
Ndugu yangu ukiwa na mawazo kama haya siku zote utakwama.Kumbuka shuleni au vyuoni
watu wenye akili sana hawasomi muda wote,lakini leta mtihani uone!
kama wewe ni mgeni,ukimkuta mtu huyo muda mwingi ni michezo, utani
utadhani anadisco kesho kumbe ndo kipanga na anakwamua wenzake.

Back to the point,si kila wakati utajikita kuvumbua au kusaka
pesa utakufa kwa msongo wa mawazo,some times jf watu wanakuja kurefresh mind zao.

na uzuri jf ina sehemu nyingi za kusurf kila mtu anachagua uwanja
unaomfaa anatembelea huko,dini,siasa,MMU n.k
Chagua panapokufaa ilimradi ufurahi mwenyewe.
 
Kwenye point yako nakubaliana na wewe japo kwangu niliona ni kwa upande mmoja tu.
Labda naweza kuhisi ni utoto labda,au kuna sababu nyingine unayoiona?

Sio utoto, wengi wanafanya kama protection way wasitongozwe lakini wengine ni wajasiliamwili....kuringa kwa wanawake ni la kawaida....
 
Ndugu yangu ukiwa na mawazo kama haya siku zote utakwama.Kumbuka shuleni au vyuoni
watu wenye akili sana hawasomi muda wote,lakini leta mtihani uone!
kama wewe ni mgeni,ukimkuta mtu huyo muda mwingi ni michezo, utani
utadhani anadisco kesho kumbe ndo kipanga na anakwamua wenzake.

Back to the point,si kila wakati utajikita kuvumbua au kusaka
pesa utakufa kwa msongo wa mawazo,some times jf watu wanakuja kurefresh mind zao.

na uzuri jf ina sehemu nyingi za kusurf kila mtu anachagua uwanja
unaomfaa anatembelea huko,dini,siasa,MMU n.k
Chagua panapokufaa ilimradi ufurahi mwenyewe.

saf sana mkuu
 
Hivi ELIMU KWANZA na KILIMO KWANZA tunaweza kuunganisha na kupata KWANZA ELIMU KILIMO?
 
Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake....

Kwahiyo na wewe kwa elimu uliyosoma kwa miaka yote hilo nalo unaliona ni tatizo la kijamii....BRN

Kwani hujui kuwa kutosalimia wengine ni moja njia inayojenga mahusiano hasi ambayo ni tatizo mojawapo kwenye jamii? au wewe mwenzetu ukiambiwa tatizo akili yako inakuambia ni vibaka na njaa!
 
Tatizo huna personality na mkwanja hayo yote yasinge kutokea.....karne hii bado unaamini katika uhandsome labda ndio maana kuna mtu amekwambia wewe bado mtoto na hivi BRN mmeshamaliza

Una uhakika na unachokisema?
 
Haina maana kwamba vijana wanashinda wakiwaza haya, ila umeingia kwenye jukwaa la mambo haya?? Humu huwezi kukuta discussions za siasa au uchumi, ni mapenzi na yanayohusiana na mapenzi tu!! Tukienda unavyotaka ina maana hili jukwaa halitakuwa na thread hata moja yaani litadoda

Mkuu uko sawa, tatizo jf kuna wajuaji wengi
 
Nimekosa ushauri au nasaha maana umefanyia utafiti mambo mepesi sana kiasi cha kuamini umepoteza muda wa kujenga taifa letu..... Kuna mambo mengine hayako kifikra ila yapo kihalisia, ukishayawazia na kuyapa majibu labda ukasema ni Research lazima tukushangae.


Mkuu mambo ya MMU ni burudani tu hivyo usiseme jamaa amepoteza muda.Tuseme na wewe umepoteza muda wako kusoma uzi wake?
 
Back
Top Bottom