Uchunguzi kashfa ya upangaji matokeo FDL

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,869
Zinasema Kwamba Kinachochelewesha Kamati MAALUM Ya Kuchunguza Upangaji Matokeo Wa Mechi Za Geita FC Dhidi Ya FC Kanembwa Kule Kigoma Na Ya Police Tabora Dhidi Ya JKT Orjoro Mkoani Tabora Kutoa MAAMUZI Juu Ya Nani Ndiyo Anastahili KUWAJIBISHWA Juu Ya KASHFA HII KUBWA Ni Kama Zifuatazo:
  1. Viongozi Wawili Wa Juu Na Waandamizi WAMEHUSIKA Moja Kwa Moja 99.99%.
  2. Mwenyekiti Wa Kamati Tarimba Abbas Tarimba Sasa Anatishiwa Na Wahusika.
  3. Ukweli Ukijulikana Tu Utawafukuza Wadhamini Wote Wakubwa Wa Soka Letu.
NANI YUPO NYUMA YA HAYA YOTE?

Kwa TAARIFA Za Ndani Kabisa Ambazo Nimezipata Kutoka Kwa Watu Wa Karibu Na Ambao Hata Wao WAMEITWA KUHOJIWA Na Kamati Hiyo Ni Kwamba Timu ( TAJIRI ) Ndiyo KIKWAZO Na CHANZO Cha Yote Haya Kwa Kile Kinachoelezwa Kwamba Wakati Shirikisho La Soka La Tanzania Lilipotumbuliwa JIPU Na TRA Miezi Kadhaa Tu Iliyopita Hali Iliyopelekea TFF Kukosa Hata Pesa Za Kununua Maji Ya Kunywa Pale OFISINI Ilibidi Kiongozi Wake Mmoja Mkubwa Tu Akimbilie Kwa Rafiki Yake Aliyepo Katika Hiyo Timu ( TAJIRI ) Kuomba MSAADA Wa Pesa Na Kweli Walipewa Hizo FEDHA Ambazo Kiukweli Ndizo Ziliweza Kuendesha Operations Zote Za TFF Ila Kwa SHARTI Moja Kuu Kuwa Na Wao TFF Wahakikishe Kuwa Timu ( TAJIRI ) INAPANDA Daraja Na Kupanda Ligi Kuu.

NINI KILITOKEA WAKATI WA MAHOJIANO YA WAHUSIKA?

Mara Baada Ya WAHUSIKA WA HIVYO Vilabu Kuitwa Kwa MAHOJIANO Inasemekana Kuna Watu WAWILI Ambao Wao HAWAKUTAKA KUPOTEZA Muda Katika Kuhojiwa Na Badala Yake Walipoingia Tu Ndani Ya Chumba Cha MAHOJIANO Waliweka Sauti Za Hao Viongozi Wawili Wakuu Walizorekodi MAWASILIANO Yao Ya Wiki Moja Kabla Ya Hizo Mechi, Siku Ya Mechi Na Baada Ya Mechi Kitu Ambacho Kilipelekea Wale Wana KAMATI KUHAMAKI Na KUTOAMINI Kwani Moja Ya Sauti Ya Mmoja Wa Huyo KIONGOZI Ndiyo Ya Huyo Huyo Aliyewapa JUKUMU La KUCHUNGUZA.

HITIMISHO.

Kwa TAARIFA Nilizonazo Ni Kwamba TAYARI Kamati IMESHAKUJA Na MAAMUZI Mazito Ambayo Bado Tu KUTANGAZWA Kwake Lakini KINACHOFANYA WASITANGAZE Ni Mkwara Mzito Uliotolewa Na Timu ( TAJIRI ) Kuwa KAMA WATAHUKUMIWA Na KUSHUSHWA Daraja Basi Na Wao Pia WATAMWAGA KILA KITU HADHARANI Ili Soka La Bongo LIHARIBIKE Na Kama Mbwai Na Iwe Mbwai. Viongozi Wa TFF Na Wa Hiyo KAMATI Ya Akina Tarimba Abbas Tarimba Sasa WANAKUNA VICHWA Huku WAKIHAHA Kujua Nini Cha Kufanya.

Huko NYUMA Kuna KIONGOZI Mmoja Mkubwa Tu Wa TFF Alisikika Redioni Hadi Katika Tv KUISHUTUMU JF Huku AKIFOKA Labda Akidhani Kuwa WATANZANIA Wote Ni WAPUUZI Ila Ukimya Wetu Katika Kumjibu Mwenyezi Mungu Sasa Anaujibu Na Muda Si Mrefu Anakwenda KUUMBUKA Na Ndipo Atajua Kuwa TAARIFA Zikitoka Humu JF Huwa HATUKURUPUKI Na Asidhani Labda Watu Tunakuja Humu JF Kupoteza Tu Muda Bali Tuna UCHUNGU Na UPUUZI Wake Anaoufanya Huku Soka Letu Likizidi Tu KUDIDIMIA Kila Kukicha Na Asisahau Kuwa Na Sisi Tuna VYANZO Vyetu Ambavyo Vingine Hata Yeye Huwa ANAKUNYWA Navyo Chai, Chakula Na Kufanya Nao Mengineyo.

MWISHO NASEMA NITAITETEA NCHI YANGU NA UDHALIMU WOWOTE KWA KUTUMIA UWEZO WANGU AU JITIHADA ZANGU ZA KITAALUMA NA KIUELEDI HATA KAMA IKIBIDI KUTOA UHAI WANGU ILI VIZAZI VIJAVYO VISIKUTE UPUUZI HUU NA HATIMAYE SOKA LA TANZANIA LIPIGE HATUA Nimemaliza.
 
pumba tupu.

swissme

Moderators NATOA KWENU ANGALIZO HUYU MEMBER NADHANI KUNA ANALOLITAKA KWANGU KWANI HAKUNA UZI AU POST NITAKAYOIANDIKA AU KUIANZISHA ASIJE KUNIJIBU KWA KUNI PROVOKE NA BAHATI NZURI HILI JAMBO MNALIONA HALAFU HAMCHUKUI HATUA ZOZOTE. KWA UTHIBITISHO ZAIDI NAWAOMBENI PITIENI MAJIBU YAKE YOTE KATIKA EITHER THREADS OR POSTS ZANGU MJIRIDHISHE.

HUWA NAPENDA SANA AU MNO UTANI ILA HUYU MEMBER NAONA ANA AGENDA MAALUM DHIDI YANGU KWANI HAKA KATABIA HAJAANZA LEO WALA JANA. NAWAOMBENI KAMA MNAVYOKUWA WEPESI KUNIPIGA BAN BASI PI MUWE WEPESI KUCHUNGUZA SUCH PROVOCATIONS KAMA HIZI.

NINA UVUMILIVU MKUBWA TU LAKINI UNAKARIBIA KUNISHINDA NA KUCHELEWA KWENU KUCHUKUA HATUA MTASABABISHA NIJE NA MAJIBU YA HATARI ZAIDI DHIDI YAKE HALAFU NICHAFUE HUMU HALI YA HEWA KISHA MNIFANYIE HICHO MNACHOKIPENDA KUNIFANYIA.

SASA HIVI NAFANYA KAZI YA WATANZANIA KUIBUA UOZO ILI MATATIZO HAYA YAISHE NA LAITI MNGEJUA NINAVYOHATARISHA MAISHA YANGU KUZIPATA HIZI TAARIFA MNGENIPONGEZA AU HATA KUNIONEA HURUMA LAKINI ANATOKEA TU MTU MMOJA KILA NINAPOKUWA ANANIFUATA FUATA HALAFU KATIKA MAMBO MUHIMU NINAYOYALETA.

KAMA NA NYIE MNA AGENDA BINAFSI NA HUYU MEMBER SEMENI TU ILI NIJUE MOJA NA ASIDHANI KUWA SIMJIBU LABDA NAMUOGOPA BALI NALINDA TU HESHIMA YENU ILA ANAPOELEKEA ATASABABISHA MENGINE KWANI NIMEMCHOKA.

NIMEMALIZA!
 
kama habari zako ni za huongo na uchochezi kwanini nisikuambie kuwa ni pumba tu?

swissme
 
kama habari zako ni za huongo na uchochezi kwanini nisikuambie kuwa ni pumba tu?

swissme

Ngoja Niwaachie Members Kujua Nani Ni TAAHIRA Kati Yako Na Yangu. Hata Hivyo Huku KUNIFUATA FUATA Kwako Kila Niendapo Humu JF Kunaonyesha Ni Jinsi Gani UNAVYONIKUBALI Na Hata KUTAMANI Kuwa MAHIRI Kama Mimi Ila Huna Tu La Kufanya. Nakusihi Tu USIACHE KUNIFUATA au KUNIFUATILIA Hivyo Hivyo 24/7 Kwani Naamini Kuna Ambayo UNAJIFUNZA Kutoka Kwangu Ambayo Yatakujenga Nawe KIFIKRA. Nimeshafuatilia Na Kugundua Kuwa Kila Ninapokuja Na UZI Humu Wa Kumuhusisha Huyo MASTER Wako Wa TFF Lazima Tu Utakuja Ili Unitibue Nihamaki UZI Upoteze MAANA Ila Kwa Leo NIMEJIPANGA Vilivyo Na Kama Yeye Ndiyo AMEKUTUMA au Ndiyo Wewe Mwenyewe NAKUPA ONYO KALI NA LA MWISHO Kwani Nilichokiweka Hapo ni 50% Ya KASHFA Zake / Zako Hapo TFF La Sivyo Nitakuja Na Kashfa Zingine Mbili Za ADIDAS Na MDHAMINI Mkuu Wa TFF Kisha WATANZANIA Waje KUKUTIMUA Hapo Karume. Nakustahi Mno! MASTER Wako Ameshikwa Pabaya Na Ndiyo Maana Hata SUTI Zake Zote Siku Hizi HAZIMKAI Na Kutwa Ni Mtu Wa Mawazo. Nasikia Leo Anataka Kujifanya Ni MR. SMART Kwa Kuwarudishia Watanzania Pesa Zao Za Tiketi Ya Mechi Iliyoota Mbawa. Mwambie UUNGWANA Wake Huo HAUTAMSAIDIA Na Watanzania Tunataka Kujua Zile Meseji 17 Walizonazo Wale Jamaa Wawili Waliohojiwa Ni Za Nani Na Ile Sauti Katika Simu Zao Ni Za Nani. Watu Sasa Tumeamua KUTENDEA Haki FANI Zetu ZILIZOTUKUKA Za Investigative And Critical Thinking Journalism! TUTAHESHIMIANA Mwaka Huu.
 
Back
Top Bottom