Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,748
Ukimsikiliza vizuri Makonda katika mikutano yake na waandishi wa habari utaona kuwa anajinasibu kuwa "katika uchunguzi wangu" nimegundua hili na lile kisha anawataja watu mbalimbali.
Jee ni kweli kuwa Makonda ndiye alikuwa anaendesha upelelezi wa kuwabaini hao watuhumiwa au ni Polisi?
Maana kama ni Polisi ndiyo yenye majina ya washukiwa hao basi wao ndio walikuwa na wajibu wa kuyatangaza na kuwaita.
Hofu yangu ni kuwa kama kesi hizi zitakwenda mahakamani na watuhumiwa waki hire competent lawyers kuna uwezekano wa Makonda kutakiwa kuitwa kama Principal witness, jee uwezo huo wa kutoa ushahidi wa kiuchunguzi atakuwa nao au ndio hivyo tena serikali kutumia pesa nyingi kuendesha kesi ambazo itaishia kushindwa na vita hii kuwa haina mafaniikio?