Uchunguzi dhidi ya Kampuni ya Q-NET Umefikia wapi hadi sasa?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,207
Reaction score
9,198
Wadau wote wa JF,

Tafadhali rejeeni kichwa cha habari hapo juu.

Kwa yeyote mwenye mrejesho wa matokeo ya uchunguzi ulioanzishwa na mamlaka za Kiserikali dhidi ya Kampuni ya Q-NET atupatie tafadhali.

Mimi ni mmoja wa waathirika wa biashara hiyo hivyo mrejesho huo ni muhimu kwangu kama ilivyo kwa wengine.

Aksanteni
 
pole dana
 
Back
Top Bottom