Uchunguzi barabara za Jiji la Dar es Salaam

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,247
Reaction score
888
Nimestuka baada ya kugundua kwamba kumbe kuna barabara nyingi za vumbi katikati ya Jiji la DSM.
Nilikuwa sitegemei kwamba kwa umri wa jiji kama hili tunaweza kuwa na hata mita 100 za barabara ya vumbi. Tafsiri yangu ya City center kwa Umri wa jiji la DSM ni eneo lote ndani ya km 5 toka old post office.
 
Posta kule ndio panaongoza kwa mashimo kipindi cha mvua, unategemea nini?
 
Nimestuka baada ya kugundua kwamba kumbe kuna barabara nyingi za vumbi katikati ya Jiji la DSM.
Nilikuwa sitegemei kwamba kwa umri wa jiji kama hili tunaweza kuwa na hata mita 100 za barabara ya vumbi. Tafsiri yangu ya City center kwa Umri wa jiji la DSM ni eneo lote ndani ya km 5 toka old post office.
Tuwekee jina la mtaa wenye barabara ya vumbi city centre. Kila mtaa mmoja wenye barabara ya vumbi city centre natoa 10,000/-
 
Wa mkoani hajafika posta huyu...ataje majina ya majina ya hiyo mitaa tuijue
 
Uchunguzi?
Unajua maana ya kuchunguza?
Kwani umefata nini huko?
 
Back
Top Bottom