tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
whaaaat?
unataka kuniambia uko peke yako na baridi yote hiyo? tena siku 3 mfululizo kudadeki??
ahahah..kwani yeye Mentor alijitangaza yuko na nani?..aulizwe yeye
We mwenyewe unachepuka alafu unategemea nin?
Tulizana!
je mfumo dume utaisha lini.??..usipoisha uchunaji ni constant....Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani
Wapi kikosi cha mizinga!!!!!
mi siwaelewi kulaleki! Mentor mbona kama bazazi vile! lol!
mara Smile..! mara huyu mrembo anaenirusha roho, tinna cute! na kweli she is cute kulaleki!
saasa naanza vita ya kunyang'anya wake!!
Daaaaah! kumbe nairusha roho yako???? sasa nakuja kuitoa kabisa ngoja ntafute sumaku inisaidie kuvuta mpk niitoe.
tin be serious pliz! i am dying here you know!
ooooohps!!!!!!!! sema kabisa nikuzike wapi?
hold me in your arms. i will feel more safe. i hope you will understand these few words tc.