Zoka Paul Mabusi
Member
- May 16, 2016
- 13
- 1
RESIDUAL UNEMPLOYEMENT huu ni ukosefu wa ajira kwa watu wenye matatizo kama ulemavu wa akili au viungo,Ni wazi Raisi magufuli hajaweza kusimama kugusia namna atasaidia makundi haya ktk swala la wao kujiajiri na hata kuajiriwa nashauri eande shule ya walemavu virunguti akaone namna wagonjwa wa akili wanaweza kumiliki na kufungua viwanda pitia ufugaji,ushonaji SITAKI KUAMNI RAISI ANACHUKIA WALEMAVU pia kama anavyo chukia wanafunzi wanaopata mimba kwa kubakwa.
Nilipote nimerudi.Usikose makala zangu namna ya kupata maendeleo ya uchumi wenye usawa.facebook ni samsoni waagano jipya mzee twitter zoka paul
Nilipote nimerudi.Usikose makala zangu namna ya kupata maendeleo ya uchumi wenye usawa.facebook ni samsoni waagano jipya mzee twitter zoka paul