Kwa hakika hakuna Mtanzania hata mmoja ambae hamuungi mkono Mh. Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli kwenye hii azma yake ya kutaka nchi iwe na uchumi wa kati kupitia uchumi wa viwanda.
Raisi wetu mpendwa toka aingie madarakani amekuwa akihubiri uchumi wa viwanda na yeye ni mwumini sana wa viwanda kuwa chachu ya maendeleo.
Hata hivo huwo ndo ukweli halisi. Bila kupepesa macho; hakuna inchi yeyote iloendelea bila kuwa na viwanda; huu ni ukweli mtupu! Ila kama taifa twapaswa kujiandaa vya kutosha na kuweka mazingura bora ya uchumi huo wa viwanda.
Pia hatupaswi kudharau kilimo kuwa ndo utii wa uhai wa Viwanda! Bila kuwa na uzalishaji wa hali ya juu kwenye kilimo hivo viwanda ni ndoto kuwa productive la sivyo vitabaki kuwa majokofu ya kufugia Popo.
Katika kufafanua hili nimeona kidogo nikuoneshe jinsi inchi za ulaya zilizoendelea kiviwabda hasa Uingeleza ilivyofanya.
Uingeleza ndo Nchi ya kwanza kuwa na uchumi wa Viwanda. Yaani kuwa na mapinduzi ya Viwanda ( industrial revolution) kati ya miaka 1780 hadi 1850. Inchi nyingine zote za bara hilo na mabara nengine zote zilikuwa hazijawa na uchumi huo. Kwa kipindi hiko ndo tuliona Uingeleza ikiwa juu kiuchumi. Na kuzalisha bidhaa nyingi na ajira za kutosha. Waingeleza walinufaika sana na mapinduzi haya. (kasome British industrial revolution from 17th C) .
Kuanzia karne ya 19 ndo nchi nyingine zikaanza nazo kuiga mfumo wa uchumi wa viwanda wa Uwingeleza.
Waingeleza katika kuimalisha na kuendesha uchumi wao wa Viwanda waliona kuwa kilimo ni sehemu kuu ya mali Gafi ( Raw materials). Hivo basi walijikita katika uzalishaji wa kilimo.
Uzalishaji mkuu wa kilimo kusudi ya kupata mali gafi za kuhudumia viwanda hivyo ilileta Mapinduzi ya kilimo ( Agrarian Revolution/ Agricultural revolution) katikati ya karne ya 17.
Mapinduzi ya kilimo yaani Agrarian Revolution yalipelekea kuwepo na maligafi ya kutosha kwenye viwanda. Si mali gafi tu hata chakula majumbani kilikuwa cha kutosho na kukawa na high export of agricultural product. Historia inatuambia kuwa watu waliongezeka; Wafaya kazi pia waliongezeka mala dufu kwani hakukuwa na njaa. Inchi ya wingeleza ilijawa na nena. Miji mikuu kama Manchester; Liverpool; Yorkshire na Birmingham ilikuwa kwa kasi kubwa.
(Ukipata muda pitia kwa kugoogle maada hii" effect of industrial and Agrarian revilution in england" )
" No Agricultural/ Agrarian revolution; the industrial revolution is stagnant" ( Bila mapinduzi ya kilimo Vuwanda ni Bure) Haya ni maneno ya Arnold Toynbee aliekuwa mchambuzi na mshauri wa maswala ya uchumi Ikulu ya Taifa la wingeleza.
Serikali ya Wingereza ilimsikiliza na kulifanya kazi kwanza swala la kilimo ndani ya nchi na nje ya nchi yao hasa hasa katika bara la Afrika kama mfano wa Kenya na Zimbabwe kupitia Colonial economy by settlers. Walifanya hivi ili kujihakikishia chanzo cha mali Gafi za viwanda.
Nami nakumbuka moja ya maswali niliyokuwa nikisolve nikiwa shuleni Advance lilikuwa hili " Discuss how
Agricultural Revolution has therefore been cited as a cause of the Industrial Revolution in England.
Kwa watu walosoma Uchumi kupitia HGE; Basi kwenye History kama hawakuwa Vilaza au watoro naimani Topic hizi za Indusrial na Agrarian revolution in England walizisoma. Na hata kwa sasa wanafunzi wa sasa wanaosoma michepuo yenye historia bado maada hizi wanazisoma.
Tukiachana na mfano wa Wingereza; tuone mfano rahisi tu wa Nchi ya Kenya.
Kenya ni nchi mojawapo ya Afrika mashariki. Pia ni nchi jirani yetu. Kenya ndo inayoongoza kwa uchumi mkubwa kwenye hizo nchi za Africa Mashariki. Uchumi wa Kenya Umeimalishwa na Viwanda pamoja na Kilimo.
Wakenya waliokuwa wanaanzisha viwanda hawakupuuzia swala la kilimo. Pale kenya kuna Viwanda vya kutosha pamoja na mashamba ya kutosha yenye mazao kibao. Mali gafi za viwanda vya kenya zinapatikana kwenye mashamba hayo. Kwa sasa Kenya iko powerful industrialized kuliko nchi yeyote ya Africa mashariki.
Watanzania tunajifunza kitu kimoja hapa kuwa Uchumi wa Viwanda na Uchumi wa Kilimo ni vitu viwili ambavyo havitenganishwi. Yaani :" Industrial revolution and Agrarian Revolution are
two sides of the same coin."
Watanzania walowengi wanajiuliza;
- Mbona hakuna jitihada zozote za kuimarisha secta ya kilimo ingawaje kuna jitihada ambazo Mh. Rais anazifanya kugeuza Tanzania kuwa nchi ya Viwanda?
-Hivo viwanda vitaoperate vipi bila ya kuwepo na uzalishaji wa kutosha?
- Serikali inatazamia kujenga Tanzania ya Viwanda vya aina gani ambavyo havihitaji shughuli za kilimo?
Nawasilisha.