Uchumi wa viwanda, mkakati wa kupata malighafi za viwanda ni upi?

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,841
1,843
Kila kukicha ni uchumi wa viwanda, uchumi wa viwanda ,uchumi wa viwanda hivi hivyo viwanda tuta IMPORT malighafi (raw materials)

MBONA HII SERIKALI SIJASIKIA MKAKATI WA UZALISHAJI MALIGHAFI?? Hivi kinachoanza ni viwanda au kuzalisha malighafi??

HEBU serikali itwambie mkakati wa viwanda tumeshausikia, JE MKAKATI WA KUHAKIKISHA MALIGHAFI ZIPO NA ZINATOKA NCHINI MWETU NI UPI, ???

Na je unatekelezwa je??
Na ni kwa miaka mingapi??
 
Hebu changamka kidogo. ..ujaribu kujijibu hayo maswali. ..maana unauliza majibu ndugu yangu. ..ubarikiwe
 
Tuna pamba, chuma, silve,r silicon, rare earth nk nk.. malighafi zipo na zingine tuta import.
 
mkuu hiyo pamba iko wapi, au unaongelea mwaka 1990???

hizo silver, silcon, chuma, migodi yake iko wapi??? na zinazalishwa kwa kiwango gani???

nahisi unaongelea nchi nyingine na si Tanzania
 
MBONA HII SERIKALI SIJASIKIA MKAKATI WA UZALISHAJI MALIGHAFI?? hivi kinachoanza ni viwanda au kuzalisha malighafi??

Nafikiri wewe kama ulisoma itakuwa hukuelewa ulichosoma.Kuanzisha viwanda Unaweza wala usihitaji kuwa na mali ghafi hata moja unayozalisha nchini kwako.Japan haina mali ghafi kila mali ghafi inaaagiza nje na ni nchi iliyoendelea kiviwanda.

Tanzania tuna mali ghafi kibao zimezagaa kila kona na tunazungukwa na nchi zenye mali ghafi kibao mfano kongo ni rahisi kwetu kuanzisha viwanda!

Wengine naona mna ugonjwa wa PINGAPHILIA (yaani ugonjwa wa kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali)
 
Kila kukicha ni uchumi wa viwanda, uchumi wa viwanda ,uchumi wa viwanda hivi hivyo viwanda tuta IMPORT malighafi (raw materials)

MBONA HII SERIKALI SIJASIKIA MKAKATI WA UZALISHAJI MALIGHAFI?? Hivi kinachoanza ni viwanda au kuzalisha malighafi??

HEBU serikali itwambie mkakati wa viwanda tumeshausikia, JE MKAKATI WA KUHAKIKISHA MALIGHAFI ZIPO NA ZINATOKA NCHINI MWETU NI UPI, ???

Na je unatekelezwa je??
Na ni kwa miaka mingapi??
Marighafi za kilimo kwanza zishapita. sasa tuandae kilimo pili
 
Nafikiri wewe kama ulisoma itakuwa hukuelewa ulichosoma.Kuanzisha viwanda Unaweza wala usihitaji kuwa na mali ghafi hata moja unayozalisha nchini kwako.Japan haina mali ghafi kila mali ghafi inaaagiza nje na ni nchi iliyoendelea kiviwanda.

Tanzania tuna mali ghafi kibao zimezagaa kila kona na tunazungukwa na nchi zenye mali ghafi kibao mfano kongo ni rahisi kwetu kuanzisha viwanda!

Wengine naona mna ugonjwa wa PINGAPHOBIA (yaani ugonjwa wa kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali)
nchi iliyo miongoni mwa zinazoongoza kwa high rate of unemployment unahubiri kuhusu ku import raw materials??

unajua effect ya ku import raw materials wewe, moja unaongeza cost of production, pili unaua productivity especially in agriculture, mengine kajisomee

hizo malighafi kibao unazozizungumzia ni zipi, zitaje na kwa kiasi gani zinazalishwa kwa mwaka??

unaanzishaje viwanda huku ukitegemea malighafi KONGO?? seriously???

mkuu inawezekana umesoma ila hii fani ya biashara na viwanda nna uhakika sio yako
 
mode mbo unawashwa kubadili badili heading ya thread yangu??whats wrong with you guys up there
 
nchi iliyo miongoni mwa zinazoongoza kwa high rate of unemployment unahubiri kuhusu ku import raw materials??

Nakujibu kwa mara ya mwisho uelewa wako uko chini ya kiwango siwezi kuendelea kupoteza muda na wewe.

Nchi ikiwa na high rate of unemployment huelewi kuwa njia moja ya kuondoa hiyo high rate ya unemployment ni kuanzisha viwanda? Japan bila kuanzisha viwanda ingekuwa na high rate of employment duniani kwa kuwa wao hawazalishi mali ghafi.Viwanda walivyoanzisha japo hawana machimbo ya chuma ,chuma cha kutengeneza magari wana import lakini faida wanayopata kwa kuuza hayo magari ni kubwa kulinganisha na gharama za magari? Hivi hujui kuwa finished products bei yake ni kubwa kuliko malighafi?

Tanzania haina high rate of employment.Sehemu kubwa ya labor force imeajiriwa kwenye kilimo iko mashambani vijijini imeajiajiri kwa kulima wachache wasio na kazi wako mjini.Viwanda vikianzishwa hao wacheza pool wachache wasio na kazi wa mijini watamezwa kwenye hivyo viwanda na hivyo kupunguza tatizo la Unemployment
 
Wengine naona mna ugonjwa wa PINGAPHOBIA (yaani ugonjwa wa kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali)
Hiyo nomeclature yako umechemsha. Kama huo ugonjwa ungekuwepo, basi ungekuwa ugonjwa wa KUOGOPA KUPINGA/KUPINGWA na si kupenda kupinga

Phobia ni woga, kuogopa, kuchukia
Philia ni kupenda...

Labda useme PINGAPHILIA...

Let's say:
SERIKALI ni PINGWAPHOBIC
RAIA WEMA
ni PINGAPHILIC

Chukua somo hilo likusaidie kwenye comments zako siku za usoni.
 
Nakujibu kwa mara ya mwisho uelewa wako uko chini ya kiwango siwezi kuendelea kupoteza muda na wewe.

Nchi ikiwa na high rate of unemployment huelewi kuwa njia moja ya kuondoa hiyo high rate ya unemployment ni kuanzisha viwanda? Japan bila kuanzisha viwanda ingekuwa na high rate of employment duniani kwa kuwa wao hawazalishi mali ghafi.Viwanda walivyoanzisha japo hawana machimbo ya chuma ,chuma cha kutengeneza magari wana import lakini faida wanayopata kwa kuuza hayo magari ni kubwa kulinganisha na gharama za magari? Hivi hujui kuwa finished products bei yake ni kubwa kuliko malighafi?

Tanzania haina high rate of employment.Sehemu kubwa ya labor force imeajiriwa kwenye kilimo iko mashambani vijijini imeajiajiri kwa kulima wachache wasio na kazi wako mjini.Viwanda vikianzishwa hao wacheza pool wachache wasio na kazi wa mijini watamezwa kwenye hivyo viwanda na hivyo kupunguza tatizo la Unemployment
poor mind, unaua produce kwa kutegemea production ku cover hiyo gape??? mchumi wa wapi huyu,
 
Hiyo nomeclature yako umechemsha. Kama huo ugonjwa ungekuwepo, basi ungekuwa ugonjwa wa KUOGOPA KUPINGA/KUPINGWA na si kupenda kupinga

Phobia ni woga, kuogopa, kuchukia
Philia ni kupenda...

Labda useme PINGAPHILIA...

Chukua somo hilo likusaidie kwenye comments zako siku za usoni.

Asante kwa masahihisho nimesharekebisha ili isomeke kuna watu wanaumwa ugonjwa wa PINGAPHILIA (ugonjwa wa kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali)
 
Nafikiri wewe kama ulisoma itakuwa hukuelewa ulichosoma.Kuanzisha viwanda Unaweza wala usihitaji kuwa na mali ghafi hata moja unayozalisha nchini kwako.Japan haina mali ghafi kila mali ghafi inaaagiza nje na ni nchi iliyoendelea kiviwanda.

Tanzania tuna mali ghafi kibao zimezagaa kila kona na tunazungukwa na nchi zenye mali ghafi kibao mfano kongo ni rahisi kwetu kuanzisha viwanda!

Wengine naona mna ugonjwa wa PINGAPHILIA (yaani ugonjwa wa kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali)
DUh! Afadhali umenisaidia, maana nilifikiri mimi ni ALIEN. ..
 
Swali la mtoa mada ni zuri, lakini pia serikali ilifaa ianishe wanaanza na viwanda gani. Sababu kila kitu ni mipango kwanza. Kuna viwanda vingine Mali ghafi tunazo hapa hapa.

Nakumbuka mkakati wa china Chairman Mao aliwataka waanze na leso za kufuta jasho kwanza. Walipofanikiwa, wakaanza kutengeneza mataulo, mashuka . Wakafanikiwa100%. Wakaona sasa watengeneze mashati.. Wakafanikiwa. Kwani kabla ya kufungua milango Yao, 100% ya Wachina walikuwa wanavaa nguo na viatu wanavyotengeneza wenyewe tu.
 
you have a strong point
 
Back
Top Bottom