Utupe link tujisomee wenyewe au piga screen shot ya habari kutoka kwenye hivyo vyanzo ulivyotutajia.The Moscow Times
Bloomberg
Reuters
Na uchumi wa Ujerumani ukoje mtaalamu uchwara wa uchumi kutoka chato?Katika taarifa zilizotolewa na Urusi yenyewe kwa robo ya kwanza ya mwaka, Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.
Wachambuzi wengi wanasema hali imechangiwa na kuanguka pakubwa kwa bei za gesi na mafuta, price cap iliyowekwa na US na Ulaya pamoja na kuuza kwa discount kwa mataifa ya India na China ambayo yamegeuka kuwa soko kubwa la uhakika la Urusi.
Wanajadili kwanza uchumi wa Ugereman, ambayo uchumi wake ulikua unakua Kwa speed ya 5G, ambapo Sasa unaspeed ya 2G. Wakimaliza huko watakuja kujadiliana na wafuasi USA ya Arusha.Warusi wa gezaulole wanajifanya hawaoni Uziπππ
Tulieni Pro-NATO wa Buza kwa Lulenge dawa iwaaingie uchumi wenu ukuaji chali π πWarusi wa gezaulole wanajifanya hawaoni Uziπππ
Chato imekukosea nini ndugu au ni timu nyumbu au vyeti fekiNa uchumi wa Ujerumani ukoje mtaalamu uchwara wa uchumi kutoka chato?
Huyu urusi ana mpango wa kuanzisha umoja wao kule akishirikiana na Uganda, South Africa, India, Brazil na China huko sasa kama hali ni hiyo Big Boss hasa wa umoja huo atakuwa nani? Au tuseme South Africa maana nako naskia wanalala gizani umeme ni giza totoroKatika taarifa zilizotolewa na Urusi yenyewe kwa robo ya kwanza ya mwaka, Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.
Wachambuzi wengi wanasema hali imechangiwa na kuanguka pakubwa kwa bei za gesi na mafuta, price cap iliyowekwa na US na Ulaya pamoja na kuuza kwa discount kwa mataifa ya India na China ambayo yamegeuka kuwa soko kubwa la uhakika la Urusi.
Sasa kama unamkopesha India gas atalipa nini? nchi maskini kama ile au South Africa na Uganda hukoVita ni hasara tu...