Uchumi wa nchi umeanguka

Wawadanganye Mara Ngapi kwani

Raisi alisema Atatoa Ajira Baada ya Miezi miwili Toka June . Leo ni November hakuna Kitu

Serikali ya Sasa hivu Inajengea Watu Wasiappreciate Mazuri ila Wakumbuke Mabaya Tu.. Waty hatuna Hata mzuka Na Zile Ndege alizonunua
 
chadema andikianeni to night, mgawane ruzuku ya kila mwezi milioni 300, mwaka umeisha, kesi, kesi, Hebu lissu alete mlejesho amefungua kesi ngapi, amemaliza kesi ngapi, ameshinda ngapi na bado ngapi, ili tuone mugawo ujao tumpe sh.ngapi
 
Hivi rais anafanya kazi gani za muhimu toka aingie?maana kila kitu ni ovyo ovyo.mikopo ni ovyo,ajira ovyo,madawa ovyo,uchumi ovyo.hivi anafanya kazi gani sasa?
 
chadema andikianeni to night, mgawane ruzuku ya kila mwezi milioni 300, mwaka umeisha, kesi, kesi, Hebu lissu alete mlejesho amefungua kesi ngapi, amemaliza kesi ngapi, ameshinda ngapi na bado ngapi, ili tuone mugawo ujao tumpe sh.ngapi
Kwani Pesa munatoa nyinyi? Mimi nilifikiri za walipakodi vile
 
Back
Top Bottom