We hujui sasa hivi kazi ya kupiga BOX ndo inapamba moto?
Mambo yakiwa poa kuna kazi ya Box,
mambo yakiharibika kuna kazi ya BOX
Sisi tupo katikati,
Wakienda juu wanatuhitaji tuwapeleke juu,
Wakishuka chini wanatuhitaji tuwapeleke chini.
Kilichotukimbiza Tanzania sasa kina wajukuu,
Hicho kitu,
Ndo kinafanya watu wajae Dar na miji mingine kuliko vijijini,
ndo kinacho nyang'anya ardhi Geza ulole kwa malofa,
kuwapa Wabunge Mawaziri Ikulu na familia zao
hata kama huko Dar wanakula unga ROBO mtu 7,
mtu bado inakanyagana tu.
Huku unamtumikia Kafir pia unakula na kusaza.
Tukirudi mpambano utakuwa mkali na nyie, IS and WAS inapanda,
Wanna Gonner nazo pia, Wo thapu DUuudu? ulimi laiiiiini.
Si unajua tena nchi imepigwa mnada kila mwajiri anataka wajua IS and a WAS?
Hao ni machinga na ma house girls. Watu wenye heshima wanaendasha Ma prado, VX, X5, n.k. tena mpyaaa.
Kazi ya box atakupa nani wakati kuna Wamarekani hawana kazi? Au wewe mzungu anakulalia hata minimum wage hakulipi?
Hao ni machinga na ma house girls. Watu wenye heshima wanaendasha Ma prado, VX, X5, n.k. tena mpyaaa.
Wewe unalipi la zaidi kwa huyu mtu, mimi naona ni game over
Habari hapo juu umeisoma?
Hivi, utalii bongo umeshafikia stage ya kuwa kama industrial business? Kwa sababu kwa wenzetu uliowataja Bermuda na Carribean islands, utalii ndio biashara kubwa inayowaletea kipato. Sisi tunauza nini cha maana leo kwenye soko la dunia?Kuwa na viwanda siyo ishu sana. Mbona Bermuda hakuna viwanda lakini maisha ni mswano? Visiwa vingi tuu vya pale Caribean wana maisha mswano. Na ukitembelea South America kuna nchi nyingi ambazo zina middle class kubwa. Ishu ya mishahara ya madaktari na walimu ni complicated. Nchi zingine udaktari ni fani ambayo ni ngumu sana kuingia na kwa sababu hiyo demand inakuwa kubwa. Demand ikiongezeka na supply ikipungua lazima mishahara itapanda. Usichanganye hii ishu na uchumi kuendelea.
Watu wana mihela sana bongo. Pili, watu wamejenga majumba, tatu watu wamenunua mashamba. Nne barabara nyingi mswano. Tano, watu wanasukuma michuma ya nguvu. Kila gari utaliona bongo siku hizi. Hivi vyote havikuwepo zamani.
Hiyo bado sio hoja, mtu aki call out udhaifu wa hoja zako usihamaki, tulia ujipime, huwezi kujua yote na kuwa sawa kila wakati. Ukweli unabaki kwamba umekosea kusema kwamba kwenu watu wananuka vikwapa na kuna "mivumbi" na hakuna Maserati na 2012 Infinity FX. Huo unaitwa ulimbukeni.Kujibu hicho kijiswali chako cha nani mpumbavu - wewe na mama yako ndiyo wapumbavu.
Si kwamba unapuuza, nadhani ni kwa vile huna hoja, umeshikwa pabaya. Umeishi ng'ambo halafu mchango unaotuletea kwenye national discourse ni habari ya magari ya Maserati! Kizazi cha diaspora, tunategemea zaidi kutoka kwako.Na kuanzia sasa unapuuzwa tu.
Kwa hiyo hivi vitu ndiyo vinakufanya useme uchumi umekuwa kwa 6%?. Wewe unaangalia 0.2% ya watanzania wenye hivyo vitu. 99.8% ya watanzania ni masikini sana, acha kuangalia Dar es Salaam tu ambako 99% ya wezi wa mali ya umma wanaweka mali zao. Nenda Tandahimba, au Isukamahela au Bonde.
Mimi nilidhania utanieletea list hii hapa, ambayo ndiyo hasa itakupatia uhalali wa kuongelea kukua kwa uchumi, ni vijana wangapi hawana ajira leo?:
1. Unemployment rate (Too high)
2. Quits rate
3. Housing start (too low)
4. Consumer price index (a measure of inflation) - High inflation
5. Industrial production – Almost zero
6. Bankruptcies – Very high, the Govt itself is bankrupt
7. Gross Domestic Product – can you say about this?
8. Retail sales – almost stagnant
9. Money supply changes - low with the exception of outliers most of them are corrupt Govt officials and their families
Hivi, utalii bongo umeshafikia stage ya kuwa kama industrial business? Kwa sababu kwa wenzetu uliowataja Bermuda na Carribean islands, utalii ndio biashara kubwa inayowaletea kipato. Sisi tunauza nini cha maana leo kwenye soko la dunia?
Tumetajwa kuwa 3rd gold producer in the world lakini hiyo gold tumewagawia wazungu. What a shame.
Hivi unadhani nani anamchagua raisi wa Marekani?
Kweli kabisa.
Kazi ya box atakupa nani wakati kuna Wamarekani hawana kazi? Au wewe mzungu anakulalia hata minimum wage hakulipi?
Watu wana mihela sana bongo. Pili, watu wamejenga majumba, tatu watu wamenunua mashamba. Nne barabara nyingi mswano. Tano, watu wanasukuma michuma ya nguvu. Kila gari utaliona bongo siku hizi. Hivi vyote havikuwepo zamani.
Wewe acha uongo wako wewe. Mimi mwezi uliopita tu nilikuwa bongo huwezi kunidanganya kitu.
Barabara nyingi gani hizo ambazo ziko mswano? Dar es salaam hapo ni mivumbi tu kwa kwenda mbele. Na michuma gani ya nguvu unaongelea wewe? Vigari vingi Tanzania ni vichakavu.
Eti kila gari utaliona bongo...nani hapo ana hata 2012 Infiniti FX au hata Maserati GranTurismo Range?
Na eti watu wana mihela bongo...wangekuwa wana mihela wangenuka vikwapa hivyo? Kwenda zako huko na njozi zako
Hiyo bado sio hoja, mtu aki call out udhaifu wa hoja zako usihamaki, tulia ujipime, huwezi kujua yote na kuwa sawa kila wakati.
Ukweli unabaki kwamba umekosea kusema kwamba kwenu watu wananuka vikwapa na kuna "mivumbi" na hakuna Maserati na 2012 Infinity FX. Huo unaitwa ulimbukeni.
Mtu mzima hawezi kutukana nchi yake kwa vile eti hakuna "2012 Infinity FX" pamoja na Maserati. Hayo ni mazungumzo ya watoto wa darasa la nne, wewe umetoka nje ya nchi lakini exposure uliyopata sio inayoweza kutusaidia, badala yake unatueleza habari ya magari ya Maserati. Mawazo hayo yana udhaifu.
Haya ni maruweruwe yako tu.Si kwamba unapuuza, nadhani ni kwa vile huna hoja, umeshikwa pabaya.
Aliyeanza kuzungumzia magari ni huyo mwanzisha mada na si mimi. Mimi niliuliza tu kuhusu hiyo michuma ya nguvu. Halafu hujui ninapoishi wala nilipoishi.Umeishi ng'ambo halafu mchango unaotuletea kwenye national discourse ni habari ya magari ya Maserati!
Mnategemea zaidi kwani tulipatana? Jitegemeeni wenyewe.Kizazi cha diaspora, tunategemea zaidi kutoka kwako.
Na ndio maana wengine tunapinga wazo la kuwapa kizazi cha diaspora uraia kuwili, inaonekana wengi hawana sense of national fealty na hamna msaada wowote zaidi ya kuja mara moja moja kutuambia tunanuka vikwapa.Mnategemea zaidi kwani tulipatana? Jitegemeeni wenyewe.
Well, ukitoka kwenu ukaenda kulalamika pembeni kwamba kwenu kuna "mivumbi" watakuuliza unataka nani akusafishie, jirani? Mtu wa kizazi cha diaspora akitukana huo ni ulimbukeni kwa sababu wewe umekimbilia nchi za wengine halafu unakebehi waliobaki kujaribu kuleta mabadiliko. Bora aliyebaki nyumbani kuliko mkimbizi wa kiuchumi anaetukana kwao, ni ushamba, yani, hujaelimika na exposure uliyoipata kwa kuwepo nje ya nchi.Ndiyo, nimesema Tanzania watu wananuka vikwapa na kuna mivumbi tena mingi tu.
Kwa hiyo unakubali kwamba una hoja za watoto wadogo, wa darasa la tatu ambao huulizana, "ushawahi kuliona Maserati jipya wewe?"Kwanza hujui kama mimi ni mtu mzima.
Well, hiyo haina maana kwamba kila gari litakuwepo Tanzania. Hata nchi kama Japana hakuna kila gari, kwa mfano, kuna Toyota pick up trucks nzito na kubwa (5.7L engines) zinatengezwa na Wajapani kwa ajili ya market ya USA tu, kwa sababu watu wa huko ni wakubwa, hawajali magari yanayobugia mafuta, na nchi ni kubwa yenye nafasi ya magari makubwa, tofauti na Japan. Hivyo, sio kila gari itakuwepo kila nchi.Pili, hilo la 2012 Infiniti FX(na siyo "Infinity" kama ulivyoandika wewe) na Maserati lilikuwa swali kwa kmdh aliyesema kwamba watu wanasukuma michuma ya nguvu na kwamba kila gari utaliona bongo siku hizi.
Wewe mwenyewe umeshajisemesha hapa "mwezi jana nilikuwa bongo." Hiyo ni kauli ya mtu ambae hayuko Bongo na anaetaka tujue anakuja mara moja moja tu. Sasa ni aibu kwa mkimbizi wa kiuchumi kutukana nchi yake kwamba tunanuka vikwapa wakati yeye hana idea mpya ya kimaendeleo, na yalishamshinda akakimbia. Huu ndio ujumbe ninaojaribu kuwatumia ndugu zangu wa kizazi cha diaspora.Halafu hujui ninapoishi wala nilipoishi.
Na ndio maana wengine tunapinga wazo la kuwapa kizazi cha diaspora uraia kuwili, inaonekana wengi hawana sense of national fealty na hamna msaada wowote zaidi ya kuja mara moja moja kutuambia tunanuka vikwapa.
Good for you. Ila mbona hutumii jina la Kitanzania hapa foramuni?I am a proudful nationalist
Na mpaka sasa umeshafanya nini kilicho tangible (zaidi ya kuchonga domo hapa) ili kuondokana na dhiki iliyopo?ambae, badala ya kutukana kwamba kwetu kuna "mivumbi" na watu wananuka vikwapa, najaribu kuelewa context ya umasikini wa nchi yetu na kujiuliza, tufanyeje tuondoe haya mavumbi, tufanyeje tusinuke vikwapa? Sio kutukana, nakuna kichwa na kujaribu kusaidiana na wananchi wenzangu tuitoe nchi yetu hapa tulipo.
Mimi sijalalamika. Nimesema tu jinsi hali halisi ilivyo. Na nimesemea hapa kwenye foramu ya Kitanzania. Sikwenda Ghanaweb.com kulalamika.Well, ukitoka kwenu ukaenda kulalamika pembeni kwamba kwenu kuna "mivumbi" watakuuliza unataka nani akusafishie, jirani?
Kama ukweli ni matusi then so be it. Nitaendelea kuusema daima bila uoga, ima fa ima.Mtu wa kizazi cha diaspora akitukana huo ni ulimbukeni kwa sababu wewe umekimbilia nchi za wengine halafu unakebehi waliobaki kujaribu kuleta mabadiliko.
Bado unaendelea tu kusadiki. Wamarekani wana msemo wao usemao 'when you assume you make an ass out of yourself'.Bora aliyebaki nyumbani kuliko mkimbizi wa kiuchumi anaetukana kwao, ni ushamba, yani, hujaelimika na exposure uliyoipata kwa kuwepo nje ya nchi.
Sina hoja za kitoto lakini uko huru kuamua mwenyewe kama ninazo au la. Sijali sana wewe unavyoona.Kwa hiyo unakubali kwamba una hoja za watoto wadogo, wa darasa la tatu ambao huulizana, "ushawahi kuliona Maserati jipya wewe?"
Nakusihi urejee tena alichoandika kmdh kwenye bandiko namba 25. Yeye ndiyo kasema kila gari lipo siku hizi, nanukuu "Kila gari utaliona bongo siku hizi". Sasa hebu muulize alikuwa na maana gani aliposema hivyo.Well, hiyo haina maana kwamba kila gari litakuwepo Tanzania. Hata nchi kama Japana hakuna kila gari, kwa mfano, kuna Toyota pick up trucks nzito na kubwa (5.7L engines) zinatengezwa na Wajapani kwa ajili ya market ya USA tu, kwa sababu watu wa huko ni wakubwa, hawajali magari yanayobugia mafuta, na nchi ni kubwa yenye nafasi ya magari makubwa, tofauti na Japan. Hivyo, sio kila gari itakuwepo kila nchi.
Hizi ni tafsiri zako tu.Wewe mwenyewe umeshajisemesha hapa "mwezi jana nilikuwa bongo." Hiyo ni kauli ya mtu ambae hayuko Bongo na anaetaka tujue anakuja mara moja moja tu.
More making an ass out of yourself!!Sasa ni aibu kwa mkimbizi wa kiuchumi kutukana nchi yake kwamba tunanuka vikwapa wakati yeye hana idea mpya ya kimaendeleo, na yalishamshinda akakimbia. Huu ndio ujumbe ninaojaribu kuwatumia ndugu zangu wa kizazi cha diaspora.
Nipo. Usingizi uliisha nikaona niingie JF kidogo. Naelekea Bongo October. Na wewe lini unapitia mitaa ya huku?Jasusi hulali ndugu yangu? Au uko bongo?