Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,491
CNN, BBC, Reuters na media nyingine zinaripoti kwamba hali ya uchumi wa Germany imezidi kuwa mbaya. Uchumi wa Germany una experince recession period sababu kubwa ni ukosefu wa Nishat ya Gas na kupanda kwa bei za nishati na kupelekea kufungwa kwa viwanda vingi. Kumbuka Germany ni moja ya nchi zilizokuwa mstari wa mbele kutoa vikwazo kwa Urusi.

Baada ya Germany naona karata ikiangukia UK hali yao ni mbaya inflation iko juu sana. Tuliwaambia uchumi wa EU ulijengwa kwa kutegemea cheap energy ya Russia sahivi tumeanza kujua ukweli.

Habari nzima unaipata hapa
===

BERLIN, May 25 (Reuters) - The German economy was in recession in early 2023 after household spending in Europe's economic engine finally succumbed to the pressure of high inflation.

Gross domestic product fell by 0.3% in the first quarter of the year when adjusted for price and calendar effects, a second estimate from the statistics office showed on Thursday. This follows a decline of 0.5% in the fourth quarter of 2022. A recession is commonly defined as two successive quarters of contraction.

German GDP data showed "surprisingly negative signals," Finance Minister Christian Lindner said on Thursday. He added that comparing Germany with other highly developed economies, the economy was losing potential for growth.

"I don't want Germany to play in a league in which we have to relegate ourselves to the last positions," he said, referring to the forecasts of the International Monetary Fund, which predicted a recession in 2023 only in Germany and Britain among European countries.

Robert Habeck, Germany's economy minister, said his nation's previous high dependency on Russia for energy supply led to the recession but the growth forecasts were much bleaker.

"We're fighting our way out of this crisis," Habeck said at an event in Berlin on Thursday.

"Under the weight of immense inflation, the German consumer has fallen to his knees, dragging the entire economy down with him," said Andreas Scheuerle, an analyst at DekaBank.

Household consumption was down 1.2% quarter on quarter after price, seasonal and calendar adjustments. Government spending also decreased significantly, by 4.9%, on the quarter.

People pass by the Europa-Center shopping mall, amid the coronavirus disease (COVID-19) pandemic in Berlin, Germany, December 14, 2020. REUTERS/Michele Tantussi
"The warm winter weather, a rebound in industrial activity, helped by the Chinese reopening, and an easing of supply chain frictions were not enough to get the economy out of the recessionary danger zone," ING global head of macro Carsten Brzeski said.

By contrast, investment was up in the first three months of the year, following a weak second half of 2022. Investment in machinery and equipment increased by 3.2% compared with the previous quarter, while investment in construction went up 3.9% on quarter.

There were also positive contributions from trade. Exports rose 0.4%, while imports fell 0.9%.

"The massive rise in energy prices took its toll in the winter half-year," Commerzbank chief economist Joerg Kraemer said.

A recession could not be avoided and now the question is whether there will be any recovery in the second half of the year.

"Looking beyond the first quarter, the optimism at the start of the year seems to have given way to more of a sense of reality," Brzeski said.

A drop in purchasing power, thinned-out industrial order books, aggressive monetary policy tightening and the expected slowdown of the U.S. economy all argue in favour of weak economic activity.

Following Wednesday's decline in the Ifo business climate, all key leading indicators in the manufacturing sector are now falling, Kraemer said.

The German Bundesbank, however, expects the economy to grow modestly in the second quarter as a rebound in industry more than offsets stagnating household consumption and a slump in construction, according to a monthly economy report published on Wednesday.

Reporting by Maria Martinez, Additional reporting by Christian Kraemer, Editing by Friederike Heine, Simon Cameron-Moore, Toby Chopra and Mark Porter

Source: Reuters
 
CNN, BBC, Reuters. na media nyingine zinaripoti kwamba halina ya uchumi wa Germany imezidi kuwa mbaya kwani CNN wanaripoti uchumi wa Germany una experince recession period sababu kubwa ni ukosefu wa Nishat ya Gas na kupanda kwa bei za nishati. Kumbuka Germany ni moja ya nchi zilizokuwa mstari wa mbele kutoa vikwazo kwa Russia.

Baada ya Germany naona karata ikiangukia UK hali yao ni mbaya inflation iko juu sana. Tuliwaambia uchumi wa EU ulijengwa kwa kutegemea cheap energy ya Russia sahivi tumeanza kujua ukweli.

Habari nzima unaipata hapa

View attachment 2634520
Du marekani anawatesa wenzake
 
Wewe kaa kinanga-nanga ukishabikia mambo yasiyokuhusu ukidhani wenzako wataanguka kumbe wewe ndiyo utakiona cha moto. Tanzania tunaendesha serikali yetu kwa kutumia hawa, hivyo wakitetereka sisi tunakufa..
 
Ni kawaida kuwa na recession, na growth, uchumi wa nchi lazima upitie kwenye hivi vipindi
 
Wewe kaa kinanga-nanga ukishabikia mambo yasiyokuhusu ukidhani wenzako wataanguka kumbe wewe ndiyo utakiona cha moto. Tanzania tunaendesha serikali yetu kwa kutumia hawa, hivyo wakitetereka sisi tunakufa..

Stop crocodile tears. Anza kuwananga hao BBC na CNN stupid!!
 
Putin anawaangalia tu! Hayo ndio madhara ya kuiweke vikwazo Urusi na kulipua bomba la gesi. USA anawapotosha wenzake.
20230522_233653.jpg
 
CNN, BBC, Reuters. na media nyingine zinaripoti kwamba halina ya uchumi wa Germany imezidi kuwa mbaya kwani CNN wanaripoti uchumi wa Germany una experince recession period sababu kubwa ni ukosefu wa Nishat ya Gas na kupanda kwa bei za nishati. Kumbuka Germany ni moja ya nchi zilizokuwa mstari wa mbele kutoa vikwazo kwa Russia.

Baada ya Germany naona karata ikiangukia UK hali yao ni mbaya inflation iko juu sana. Tuliwaambia uchumi wa EU ulijengwa kwa kutegemea cheap energy ya Russia sahivi tumeanza kujua ukweli.

Habari nzima unaipata hapa

View attachment 2634520
Mmarekani amewaangiza chaka wenzake
 
Back
Top Bottom