Uchumi wa Canada una nini cha ziada?

kinachobeba uchumi wa Canada ni Exports

kwa mwaka 2015 ali export bidhaa za $523.904 billion

anaexport kwa sana goods hizi
motor vehicles and parts, industrial machinery, aircraft, telecommunications equipment; chemicals, plastics, fertilizers; wood pulp, timber, crude petroleum, natural gas, electricity, aluminum

Main export partners
United States 75.2%
China 4.10%
United Kingdom 3.17%
Japan 1.93%
Mexico 1.51%
India 0.86%
South Korea 0.81%
so ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa hata marekani anamtegemea sana Canada ktk kupata bidhaa nyingi kwani ndiyo nchi inayonunua bidhaa nyingi zaidi kutoka Canada
 
Canada na australia ni nchi za mama malkia elizabeth.mama wa dunia
 
Canada wanatoa mafuta mengi ,Mteja wake mkubwa ni USA. Pia industrilized country
 
Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten ya nchi zilizo na uchumi bora duniani juu ya Korea Kusini na nchi nyingi tu.

Kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special kiwafanye wawe juu kiuchumi?

Bossman habari yako.

Kinachoibeba Canada ni uchumia ambao upo diversified. Karibu kila sekta wapo na wapo serious kwelikweli.

Sema ni nchi isiyo ma makeke kama Uingereza au Marekani.

Ila sehemu kubwa inayoibeba Canada ni Mafuta.

Wamewekeza kwenye watu wao sana.
 

Nakumbuka Malaysia ilikuwa inaandikwa 'Malaya'...ilikuwa inanitatiza sana
 
Pia
Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten ya nchi zilizo na uchumi bora duniani juu ya Korea Kusini na nchi nyingi tu.

Kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special kiwafanye wawe juu kiuchumi?

Kama sikosei huu uchumi ni percapita i.e uchumi kulinganisha na idadi ya watu. Ikiwa ni hivyo ndio maana ina uchumi mkubwa kwa kuwa ina watu wachache sana.
 
Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten ya nchi zilizo na uchumi bora duniani juu ya Korea Kusini na nchi nyingi tu.

Kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special kiwafanye wawe juu kiuchumi?
Oil and gas
Timber
Wanatengeneza ndege sijui ni bombardier au embraier
Pia kuna RIM watengenezaji wa BlackBerry
 
Canada wana mafuta mengi sana Na vile vile mining and manufacturing sectors ziko vizuri sana
It's a diversified economy
Na wanazisimamia wao wenyewe hawana wawwkezaji wengi toka nje but wafanyakazi wengi toka nje ktk mafuta na mining
 
 
Umenikumbusha mbali sn kipindi hicho mtu unaimba kabla ya kuingia class mwalimu akiingia class ana anza kumwaga fimbo mbele ya darasa kabla hajaanza kuuliza maswali unakuta vyote ulivyokuwa unakalili vinayeyuka amakweli cha kale dhahabu sasa hiv watoto ukiwauliza mkoa gani unaongoza kwa ulimaji wa pamba au mkoa gani unaongoza kwa ulimaj wa karafuu utasikia haipo kwenye mitaala yetu.
 
Mkuu kwa usahihi wako kwenye G8 na members kamili ni kama ifuatavyo

USA
UK
JAPAN
GERMANY
CANADA
ITALY
FRANCE
RUSSIA

Hawa ndio wababe kiviwanda duniani. Ila sijui kwa nini CHINA haimo.
Wakati Dogo Kim jong a.k.a kidugu alipo fanya jaribio la kombora LA nyuklia, huko China si kulikuwa na mkutano G8 na mwenyeji si ndio huyo Mchina.

Sasa hapa unataka kumdanganya nani kuwa China kwenye list hiyo hayupo....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…