Kwa upande wa uchumi wa taifa, Tanzania tunapaa, midege angani, mabarabara ya juu kwa juu, SGR, Stigler Gorge, Tanzania ya Viwanda tukielekea kuwa nchi ya uchumi wa kati, uchumi wa gesi na Tanzania kugeuka a donor country.
Kwa upande wa ule uchumi ule wa Dada zetu wale wanaokalia, mimi nimewapigania sana ile biashara yao irasimishwe, ihalalishwe, iwekewe utaratibu, itengewe maeneo rasmi, watu wafanye kazi walipe kodi. Jijini Dar Massage zimetapakaa watu wanakuwa Massaged asubuhi, mchana, jioni na usiku kucha, lakini serikali hazipati chochote.
Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
Wanabodi, Japo hii hoja itaonekana ni ya ajabu, lakini amini usiamini, inakuza sana utalii!, maana watalii wanataka kuenjoy, moja ya sterehe kubwa duniani, ni starehe hii. Nimeangalia matokeo ya Sensa, Idadi ya Watu Tanzania Wanaume -Milioni 21 Wanawake-Milioni 23 Jumla ni Watu Milioni 44...www.jamiiforums.com
P
It's true ni kazi kwelkwel, ila ni kazi halali na ndio ajira inayoongoza duniani kuliko ajira nyingine zote, hivyo sisi wapigania haki huru, hata hawa tinawapigania.Duh! Kazi kweli kweli!
Uchumi tumeukalia kwa asilimia mia.Fursa hatuzioni.Tanzania tuna upungufu wa mafuta ya kula kwa asilimia 75% lakini Tuna zaidi ya ekari millioni zenye rutuba ya kulima Karanga,Alizeti,Ufuta,mawese nk tunanunua mafuta kwanye Nchi yenye visiwa Malaysia na isiyo na rutuba.Wengi wanatamani kwetu na wakija wanapiga hela sisi hatuoni fursa.Hicho ni kimoja tu kati ya vingi.Au mpaka waje wakolini tena?
Kwa vile kazi ya Kujenga uchumi huwa inachukua muda mrefu, kusema ukweli miaka kumi haitoshi, ndio maana wengine tumeshauri, tukitaka kumfaidi Magufuli, tumuongezee muda, tumpe muda wa Kutosha, akiondoka, aondoke ametuachia Tanzania ya uchumi wa kati.Sawa kabisa Pascal,kwa sasa hivi mambo yanayoendelea nchini hata mtoto mdogo anafahamu vile tunauchakata uchumi wetu, je, tunaweza kutabiri kuwa baadae ya muda gani matokeo ya kuchakata uchumi yataleta tija kwa wananchi hadi filed wa chini na kumfanya apate mahitaji yake muhimu (chakula,malazi na makazi?).
Pongezi nyingi sana kwa mkuu wa nchi kuhamasisha uchakataji hasa kwa upande wa miradi hii mikubwa, je shughuli hizi zinamfikia raia hadi wa chini? Simaanishi ajar bure na aletewe mahitaji muhimu na serikali laa hasha,namaanisha mjasiriamali anayejishighulisha kufanya shughuli ndogondogo kujikwamua kiuchumi, anasonga au anakandamizwa na uchumi wa nchi husika?
Kwa vile kazi ya Kujenga uchumi huwa inachukua muda mrefu, kusema ukweli miaka kumi haitoshi, ndio maana wengine tumeshauri, tukitaka kumfaidi Magufuli, tumuongezee muda, tumpe muda wa Kutosha, akiondoka, aondoke ametuachia Tanzania ya uchumi wa kati.
P
hahahaaaaaa niko Kijiweni na mzee mmoja hapa tunausikiliza huu wimbo na nakuja hapa naukuta umeuweka imenibidi nifurahi tu.Hapo ulipoanza na maneno ya kumuomba Mungu umenikumbisha huu wimbo.
Yeah uchumi ukitumika vizuri huleta manufaa ila ukiutumia vibaya inakuwa sawa na kuukalia tuu, unajikuta unabaki Kuwa masikini.
InshalaaahHehehehehee furahi tuu ndugu yangu, ijumaa leo.
Hongera kwa hamasa yako kubwa kwanguMaombi yafaa yaendane na kunyanyuka na kuuchakata uchumi ili ulete Tina na mabadiliko kwa wananchi wake.
Raia wa nchi nyingi wanatushangaa, tunakuwaje masikini ilhali uchumi tunao? No kiasi cha kuuchakata ipasavyo na kila mwananchi apate sehemu ya mahitaji muhimu, CHAKULA, MAVAZI na MALAZI/MAKAZI. Elimu ni muhimu ila si lazima iwe elimu ya mfumo wa mkoloni. Hata elimu asilia ya namna ya kutumia rasilimali zetu pia ni elimu tosha.
Wananchi wakipata elimu namna ya kulima kilimo cha kisasa,namna ya kuhifadhi mazao kwa muda mrefu, namna ya kutumia ardhi yenye rutuba bila kutumia mbolea na kuizeesha ardhi, namna ya kuvua samaki na kuacha waendelee kuzaana, namna ya kusindika vyakula na kuboresha miundombinu ili maeneo yenye ukame na uhaba wa maliasili wazipate na maisha Kuwa bora kwa kila mtanzania.....
Tunakwama wapi? Mbona uchumi tunao??! Tena wa asilia tuu.
Hapo hujagusa madini.....
Habari za kuikaribisha wikiendi....na poleni na majukumu ya kutwa nzima na wiki nzima.
Kichwa cha uzi ni usemi uliovuma sana miaka hiyoo niko jeshini...na waliotamka usemi huo walikuwa na maana tofauti tofauti.
Tukichukulia kama sentensi ilivyo, mtu anashangaa unakuwaje masikini wakati umezungukwa na bahari,mito,maziwa,misitu yenye wanyama kama vivutio,milima, madini, ardhi yenye rutuba na kustawi mazao mengi...haingii akilini unakuwaje masikini na kula ya wananchi wa nchi husika ni ya sintofahamu....
Wanawake...ilikuwa fumbo kwao, utasikia mtu anamwambia mwanamke, unalia lia shida wakati uchumi unao na umeukalia.....
Siku hizi siusikii huu usemi, nimekumbuka zamani.
Kwa wale wahenga wenzangu, wewe unafahamu maana ipi?
Kasinde
‘Nyege Nyege’ Festival kicks off despite strong police deployment
. The ‘Nyege Nyege’ festival has kicked off in Jinja, Uganda ushering in four nights of wild party scenes.www.thecitizen.co.tz
Mabwana wadogo wa instagram na twitter hawawezi kukuelewa unamaanisha nini.
Sisi wahenga tumekosoma vyema. Mwalimu Nyerere alikwenda Zanzibar, akawaambia uchumi mnao lakini mmeukalia. Wazanzibari wakahamaki, yakheee umetutukana yakheee.
Mwalimu akawaambia mmenielewa vibaya, namaanisha maliasili tunazo halafu tunalalamika umaskini.
Times change and speak volumes. Maisha mtihani sana. Mambo yakikugomea unaokoka kama konki ili kuepusha shariUchumi wako umeukalia au umeusimamia??!
Natamani bia ya baridi weekend...uchumi wa mafuta na gas tunaukaliaje kwa mfano?Wengine majina yetu ni nafuu ya shari....
Haikwepekii, umeukaliiiaaaaaa....