Umenikumbusha mbali sana! Enzi hizo mwanamama akiwa na shida unamwambia unahangaika kwa nini wakati uchumi unao na unaukalia, na hasa akiwa na makalio makubwa. Enzi za magangwe, watenmi, wasela nondo, nkHabari za kuikaribisha wikiendi....na poleni na majukumu ya kutwa nzima na wiki nzima.
Kichwa cha uzi ni usemi uliovuma sana miaka hiyoo niko jeshini...na waliotamka usemi huo walikuwa na maana tofauti tofauti.
Tukichukulia kama sentensi ilivyo, mtu anashangaa unakuwaje masikini wakati umezungukwa na bahari,mito,maziwa,misitu yenye wanyama kama vivutio,milima, madini, ardhi yenye rutuba na kustawi mazao mengi...haingii akilini unakuwaje masikini na kula ya wananchi wa nchi husika ni ya sintofahamu....
Wanawake...ilikuwa fumbo kwao, utasikia mtu anamwambia mwanamke, unalia lia shida wakati uchumi unao na umeukalia.....
Siku hizi siusikii huu usemi, nimekumbuka zamani.
Kwa wale wahenga wenzangu, wewe unafahamu maana ipi?
Kasinde
Kwanza Tuombe Mungu, Baba yetu utupe mkate wetu wa kila siku, Tunajua kuna kupata na kukosa sisi waja wako watenda dhambi utusamehe.
Nguvu,Ulimi,Uchumi unao unaukalia tu? Hasa dada zetu walipenda sana kupeana motisha kwa maneno haya. Kuna walotumia vyema Uchumi wao wakafanikiwa na kuna wengine waliishia kupata mabalaa makubwa.
kasie kumbe ulienda jeshi na ufyatu wako hahahah
Umenikumbusha mbali sana! Enzi hizo mwanamama akiwa na shida unamwambia unahangaika kwa nini wakati uchumi unao na unaukalia, na hasa akiwa na makalio makubwa. Enzi za magangwe, watenmi, wasela nondo, nk
Duh....!. Umenikumbusha mbali!.
P
Wewe tu muhenga umepitwa na wakati lakini Vibinti vya 18-25 vinatumia UCHUMI wao vizuri sana.Habari za kuikaribisha wikiendi....na poleni na majukumu ya kutwa nzima na wiki nzima.
Kichwa cha uzi ni usemi uliovuma sana miaka hiyoo niko jeshini...na waliotamka usemi huo walikuwa na maana tofauti tofauti.
Tukichukulia kama sentensi ilivyo, mtu anashangaa unakuwaje masikini wakati umezungukwa na bahari,mito,maziwa,misitu yenye wanyama kama vivutio,milima, madini, ardhi yenye rutuba na kustawi mazao mengi...haingii akilini unakuwaje masikini na kula ya wananchi wa nchi husika ni ya sintofahamu....
Wanawake...ilikuwa fumbo kwao, utasikia mtu anamwambia mwanamke, unalia lia shida wakati uchumi unao na umeukalia.....
Siku hizi siusikii huu usemi, nimekumbuka zamani.
Kwa wale wahenga wenzangu, wewe unafahamu maana ipi?
Kasinde
Vijana amkeni vijana amkeni tujenge taifa vijana amkeni tufukuze umaskini sisi ndio viongozi wa baadaye na serikali ndio inayotutegemea kufanya makubwa huwa nikiwaza hili jambo linanitia hamasa katika kupamba na maisha Mungu uliyebinguni tunaomba utusamehe makosa yetu kama nasi wanaotukosea na utupe mkate 🍞 wetu kila siku tupe amani umoja upendo na mshikamano kulisogeza taifa letu maskini lakini lenye utajiri wa mali asili Mungu naomba utusaidie Amina
Wewe tu muhenga umepitwa na wakati lakini Vibinti vya 18-25 vinatumia UCHUMI wao vizuri sana.
Kwa upande wa uchumi wa taifa, Tanzania tunapaa, midege angani, mabarabara ya juu kwa juu, SGR, Stigler Gorge, Tanzania ya Viwanda tukielekea kuwa nchi ya uchumi wa kati, uchumi wa gesi na Tanzania kugeuka a donor country.Karibu Pascal, umekumbuka kipi haswa?
Vipi kwa nchi yetu, bado tumeukalia uchumi au tumeshainuka kuutumia? Je, uchumi wetu unatunufaisha au pamoja na kuutumia/ kuuchakata bado haina tofauti na kuukalia?
Wanawake wa siku hizi hawaujui huu usemi hehehehee.
Kasinde.
Kwa kweli nimepitwa, ila zana ya kutumia uchumi ni ukuletee maendeleo, hao mabinti wameendelea kwa kuutumia uchumi wao?
A nchi je? Bado tumeukalia uchumi au tunachakata mapumba?
Duh! Kazi kweli kweli!Kwa upande wa ule uchumi ule wa Dada zetu wale wanaokalia, mimi nimewapigania sana ile biashara yao irasimishwe, ihalalishwe, iwekewe utaratibu, itengewe maeneo rasmi, watu wafanye kazi walipe kodi. Jijini Dar Massage zimetapakaa watu wanakuwa Massaged asubuhi, mchana, jioni na usiku kucha, lakini serikali hazipati chochote.