Roho Za Kibuli hizo humuingia mwanamke ...Sijui hili pepo Huwa linatoka wapi?
Mnaweza kuwa mpo vizuri mkiwa masikini ila mkianza kufanikiwa ndo mwanamke atajibadilisha na kutamani kupeana talaka
Watu hufikia hatua ya kusema Bora tungebaki masikini tu
Yaani uwekazani ukiwa vizuri, watoto wakasoma shule nzuri, Maisha yakapendeza na hapo pepo la talaka na mitafaruku huibuka
Tambalasarasaka kumanyokomaka robo sakayoRoho Za Kibuli hizo humuingia mwanamke ...
nazikemea Kila Siku oooh rabashaka roko ziko nahi roboroooooorooo Toka
Inategemea amefanikiwa nani kati yenu .Sijui hili pepo Huwa linatoka wapi?
Mnaweza kuwa mpo vizuri mkiwa masikini ila mkianza kufanikiwa ndo mwanamke atajibadilisha na kutamani kupeana talaka
Watu hufikia hatua ya kusema Bora tungebaki masikini tu
Yaani uwekazani ukiwa vizuri, watoto wakasoma shule nzuri, Maisha yakapendeza na hapo pepo la talaka na mitafaruku huibuka
Sio familia zote zipo hivyo......... inategemea na mengi.Familia Kwa ujumla kipato kikiongeza basi ujue mwanamke yupo karibu kuvuruga
Kweli pesa mwanaharamuSiyo wanawake tu hata wanaume hugeuka na kuwa vichaa.
Angalia mafao kwa wastaafu yanavyovuruga si ndoa tu bali hata mahusiano ya mzazi na watoto wake.
Nimeshuhudia familia zilizokuwa vizuri tu zikisambaratika baada ya kulipwa fidia kupisha ujenzi wa hii SGR.
DuuuhSijui hili pepo Huwa linatoka wapi?
Mnaweza kuwa mpo vizuri mkiwa masikini ila mkianza kufanikiwa ndo mwanamke atajibadilisha na kutamani kupeana talaka
Watu hufikia hatua ya kusema Bora tungebaki masikini tu
Yaani uwezo ukiwa vizuri, mkipata ka gari, biashara nzuri, watoto wakasoma shule nzuri, Maisha yakapendeza na hapo pepo la talaka na mitafaruku huibuka
Ukiona mwanamke au mwanaume anasema BORA MNGEBAKI MASKINIš. Huyo ni maskini kichwani kwake na ndie anaeleta kutoelewana nyumbani kwenu.Sijui hili pepo Huwa linatoka wapi?