guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,276
- 2,435
Kuna baadhi ya vitu huhitaji kuwa na hata certificate ya uchumi kuelewa. Wakati nchi zetu za kiafrika na hasa Tanzania tukiwa na tatizo kubwa la ajira kwa vijana ila ukweli ni kuwa tuna export mamilioni ya ajira nje ya nchi. Nitaeleza kwa ufupi.
Chukulia kiwanda cha kutengeneza boxer ndio boxer hizi wanaume wanavaa. Achana na boxer ya pikipiki. Nafanya hesabu rahisi kila mwanaume anunue mbili kwa mwaka na tuna wanaume mil 20. Say unaviwanda 50 kila kiwanda na watu 20 na wanazalisha boxer 1000 per day. That means utahitaji watu 1000 kuzalisha boxer kwa mwaka. Ukweli ni kuwa hatuzalishi hizi boxer nchini. Sasa anazalisha nani?. Let assume boxer zote zinatoka china. Kwa hiyo kwa maana nyingine kuna wafanyakazi 1000 china wanafanya kazi ya kuzalisha boxer kuiuzia Tanzania. Ukinunua boxer kuna mtu kule china anapewa mpaka pension. Let say tukapata soko la nje la nchi zinatuzunguka wanaume 20mil that means tutakuwa na ajira 2000 na viwanda 100. Hii ya pili ndio wenzetu wanatumia. Soko la ndani na nje.
Nimetoa boxer kwa maana rahisi. Moja huhitaji technologia kubwa kuzalisha boxer na mbili huhitaji capital kubwa kuanzisha hivyo viwanga. Sasa let say tuna sekta za aina ya boxer mia moja. Tutaajiri watu 100,000. Achana na masuala sijui ya magari, simu, ndege mana mtajitetea technologia kubwa. In a similar fashion, tunaweza zalisha ajira mil 10.
Fikiria tu. Tuna wanafunzi 10m. Hawa wanahitaji viatu na mikanda, uniform n.k. Say viatu kuzalisha mil 3 kwa mwaka unaweza kuhitaji watu 2000. That means kuna wachina 2000 wanafanya hio kazi.
So endelea kufikiria mpaka mwisho. Utagundua tunaajiri mamilioni ya wachina kuilisha Tanzania(Walaji). Fyi nenda pale bandarini uone mizigo ya china inavofurika nchini. Mpaka vitu vidogo sana, panga, visu, matoroli you name it. Vyote vinatoka china.
Hafu tunakaa tunasema sijui ajira. Kuna container na container zinatoka nje zinaingia nchin mpaka fanicha chakavu na takataka zingine.
Achana na hio. Kuna makampuni ya kubeti ni ya nje ya nchi. Na mnajua faida inayopatikana huko. Mana yake kama wakipata faida bilioni 10 kwa mwaka hio inaenda kenya/kwa wamiliki wa hayo makampuni. Fikiria makampuni yote yanayomilikiwa na foreigner. Ubaya ni kuwa nchi yetu inafikiria MAPATO MAPATO MAPATO TU. Hawaangalii negative consequences..
Turudi nyuma kidogo kuna hizo mashine za kubetia za wachina. Ziko mitaani huko. Tunajua hawa jamaa wanaondoka na mpunga kiasi gani. Hao ni mabilionea na wanaendelea kuwafanya watanzania maskini wa kutupwa.
Sasa nini suruhu. Tuache kuingiza mizigo? No absolute No. Hoja ni kujenga uchumi wa wazalishaji na sio walaji. Hizi product zinatoka china nyingi hazina tax kule na zinahitaji very simple technoloy na wanafanya hivo kuziingizia fedha za nje (dola). Kwa lugha rahisi unauza madini unapata dola unaenda kununua boxer china.
Nini suruhu. Kwanza watanzania wale wenye mitaji wawezeshwe zaidi na walindwe. Mana yeye hata akipata faida bil100 bila shaka 70 zitabaki ndani. Ataenda kujenga kiwanda kingine kitazalisha ajira zaidi. Kuna sekta zile ni export oriented zipewe kipaumbele.
Tuwe na mpango mkakati wa kufinance entrepreneurs mfano kuna watu wanatengeza boxer, unaweza tumia tax instruments kuiboost biashara yake. How. Punguza kodi, aongeze uzalishaji, asaidiwe kutafuta sources nzuri za materials, then unasawazisha na kodi ya bidhaa inaingia. Sasa nchi ikose mapato? No. Kuna kodi bado zipo mfano PAYE kwa wafanyakazi n.k.
Ndugu zetu wa TISS wakishamaliza kudeal na upinzani waelekeze nguvu kwenye ujasusi wa kiuchumi. Kama hawana madawati ya Economic Intelligence waanzishe. Wajue namna ya kusabotage hata baadhi ya mambo. Kuna parachichi zinalimwa Tz zinanufaisha wa Kenya.
Anyway. Niishie hapa.