Uchumba wangu umevunjwa

Simu nilikuwa nmeshika mimi ....nilikuwa na-set alarm tulale,kwa sababu kesho yake nilikuwa na safari ya mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a point. Kila mtu ana react kivyake. Ushauri wangu ni kuwa asijarib kumlazimisha bibie amwelewe bali aendelee kimya kimya kumtafuta mbaya wake. Atakapomjua basi amalizie kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nahisi ataharibu huyu mtoa mada,amfuate akaongee nae,dada kaondoka huenda ni hasira na usikute wote wanachezewa. Mtoa mada akikaa kimya na mdada atakata tamaa. Mtoa mada hana kosa ila hiyo msg imeshamtia doa hana budi kubembeleza
 
Mbona inaonesha kama number yake tayari umeshaisavu na jina linaloanzia na M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo gf wako anaujua huo mchezo vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kweli, hajafanya vizuri. Angemwambia tu ukweli kuwa hawezi kuendelea naye tena ili waachane

Japo pia inawezekana kabisa ni sms ya bahati mbaya na bibie kapanic bure. Nakumbuka iliwahi kunikuta hii, kuna mtu alinipigia kimakosa badala ya kumpigia boss wake nikamwambia kakosea namba ila akawa ananing'ang'aniza kuwa nimpe simu boss wake aongee naye maana amepata ajali nikamwambia kakosea namba ila akawa mkali na kunitolea maneno makali. Baadae kwenye saa 3 usiku akanipigia kuniomba msamaha, haikutosha akanitumia na sms.

Sasa sijui ilikuwaje mkewe akaona zile calls na sms, akauwasha moto. Akanipigia simu kunitukana na kuniambia ananiachia huyo mume ila nitakiona cha moto nilimwelezea situation ilivyokuwa lakini hakunielewa mpaka nikamwambia basi afanye analolitaka.
 
Hahahahaa kwani kulikuwa na ulazuma wa picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mawili au zaidi;mchumba wako amecheza mchezo ili akuache, au rafiki wa mchumba wako ameamua kuvuruga uhusiano, au kuna mtu anatamani hiyo nafasi
 
Mhh! Unasema unaamini huyo hawezi kuwa mchumba wako anakuchezea akili?! Mimi namuona kama prime suspect, sababu:
1. Kwanini msg ikaingia muda wa usiku tena yeye ndo akiwa na simu yako? Je, ni kawaida yeye kushika simu yako?
2. Nijuavyo, mwanamke anayekupenda huwa haachi jambo lipite hivyo tu, angetaka kujua kwa undani huyo mtu ni nani, hivyo lazima angetaka kufanya uchunguzi wa kina, sijaelewa kwa kwanini huyo wako aliamua tu kuondoka kimya kimya.
 
If You Prayed For Divine Guidance,this Might Be The Answer, For He Never Faileth , Faith In God And All Things Good. Take It In A Postive Way, ,,. Glory To God,
 
Write your reply...mkuu mbona iyo conversation nimeiona sehemu kwenye group flani Monday
 
Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tupu uyo demu alitaka tu kumuacha jamaa ndio akapanga hilo dili ,tena alimu esms rafiki yake ,akamwambia nanukuu " NDIO NIMESHIKA SIMU YAKE NOW TUMA HIYO SMS SASA HV" mwisho wa kunukuu, sasa bro jua uyo mpenz wako ndio yupo behind the carpet and stage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahaaaa picha ya kihindi hiyo bro. Pole sana kaka.

Jitathmini, huyo mchumba wako anakupenda kweli maana huenda ni timing ya kukuacha maana baadhi yetu wanaume ni ving'ang'anizi sana na tunasahau kusoma salama za nyakati kabla ya tukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya mahusiano ya siku hizi
1. Jipende , jithamini , jali afya kula vizuri , pendeza.
2. Piga kazi ,, tafuta pesa ,, weka malengo .
3. Katika yote hayo mtangulize Mungu ,,,usisahau sala kila uingiapo na kutoka .

Nawe utakuwa mwenye furaha mengine ni ziada.

PENDA KUJIBEBA HAKUNA WAKUKULETEA FURAHA NDANI YAKO .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…