Daah kata hiyo kamba, hakuna muoaji hapoBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014.
Ninahudumiwa kila kitu.
Kuanzia kula, kuvaa, matembezi na hata mitoko mbalimbali.
Tatizo nikimgusia suala la ndoa, anasema tujipange kwanza.
Tujipange mwaka wa 11 huu? Na hata mtoto hatujazaa?
Kuna dalili ya ndoa kweli hapa?
Nimechunguza kila mahala, kiukweli hana mtoto wala mwanamke mwingine, ila kwanini uchumba umekuwa mrefu hivi?
Wenzangu mlioolewa mlifanyaje mpaka ndoa zenu zikafungwa mapema?
Naombeni mbinu mlizotumia ili na mimi niweze kuzitumia katika mahusiano yangu.
Mbarikiwe na muwe na asubuhi njema.
Nusratt Mohamed.
Anitegeshee mtoto?Akuboreshee maisha tu kama ni ndoa utaipata hata kwangu... Kwanini usimtegeshee mtoto?😊
Hujazaa sababu amekwambia usizae hadi mjipange au hujazaa sababu bado hamjapata tu mtoto?Sijazaa hata mtoto, mpaka tujipange
Sahau unadanganywaHahitaji mtoto mpaka tujipange.
Tunaishi maisha mazuri tu.
Swali zuri sanaHujazaa sababu amekwambia usizae hadi mjipange au hujazaa sababu bado hamjapata tu mtoto?
Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.Maybe ulijirahisisha sana mwanzoni, Akaona kumbe ni rahisi mnaweza tu mkaishi bila kuwa na tatizo hatakama hajakuoa
Aaah ntamuoa bado najipanga unajua tena ndoa ni taasisiDaah kata hiyo kamba, hakuna muoaji hapo
Mnaishi wote na hajakuoa,.vipi wazazi wako wanajua?,. Na waliridhia??Hahitaji mtoto mpaka tujipange.
Tunaishi maisha mazuri tu.
Kama ameshatoa mahali na kujitambulisha kwa wazazi hiyo ndoa tayari ,zaeni tuBinafsi niko kwenye uchumba tangu mwaka 2014.