UCHUMBA vs USHIRIKINA

Zamani waliamini dunia ni flat, ndio maana kuna mahali wanasema nitakufanya imara kama nguzo za dunia.

Sasa leo hii usome hilo neno na kulichukua kama lilivyo, ngumu sana.

Wenye imani wataamini hivyo hivyo.
 
True, ni rahisi kujitafakari na kujiweka kwenye mizani mwenyewe kuliko kumpima mwingine.

 
Lakini ulikuwa na unaamini yaliyo andikwa kwenye hivyo vitabu?

Of course yapo ambayo yalikuwa yana-make sense na mengine ambayo nilihitaji kutafakari na kujifunza zaidi.

Utaamini vipi haya nje ya dini?

Are you suggesting that huwezi kuwa na imani nje ya dini?

Wanaposema everyone has a right to religion and belief do they mean kuwa huwezi kuwa na belief unless uwe na dini?

Pamoja na kusoma divinity kama kitabu cha history ina maana ulikuwa uhisi hisia zozote za kidini kwenye hilo somo?

Hisia kwa maana ya feelings? Of course, feelings zinaweza kuwepo kama zilivyokuwepo feelings za jinsi Europe ilivyoinyonya Afrika. But again feelings are temporary. They can change from time to time.
 
Zamani waliamini dunia ni flat, ndio maana kuna mahali wanasema nitakufanya imara kama nguzo za dunia. Sasa leo hii usome hilo neno na kulichukua kama lilivyo, ngumu sana.

Ukikitaka kumtawala binadamu mnyime uhuru wa ku-reason.

Agenda bado ni kuhakikisha kuwa "amani na utulivu" vinaendelea kubakia.

Watu bado wanaogopa kuingia kwenye "reasoning age" kisa imani. Badala yake wanamwachia wanayemwamini awatatulie matatizo yao.

Ndiyo maana mpaka baadhi ya wachumi wameishia kusema kuwa kama tunataka kutatua matizo ya kiuchumi ni bora tuu kufanya maombi.

 
Last edited by a moderator:

Kaunga nakumbuka haya mambo tuliyajadili kwa kina sana kwenye huu uzi wa https://www.jamiiforums.com/great-t...i-kwenye-nchi-masikini-na-duni-kielimu-2.html ambapo watu kama KipimaPembe alituambia kuwa:


Turudi nyuma, nipe mfano wa nini watanzania wameshindwa kufanya wakaishia kusali tu...

Mengi nimeshaandika kwenye threads za nyuma.


Baadhi ya majibu ya Mchungaji


Na mwingine akaongezea.

EMT,

Ni kweli kabisa ya kuwa, jambo lililo ndani ya uwezo wa binadamu mwenyezi Mungu hahusiki kabisaaaaa. Ndo maana sisi binadamu tulipendelewa kuliko viumbe wengine wooooote!! Always a 1000 Kilometers journey begins with one step.......


...na niambie walipaswa kufanya nini kwa mfano.

Nilishajibu kwenye uzi mwingine tena kwa kurefer Bibilia.


Sorry gotta go mpira umeanza ati.
 

Maadamu umenialika kwa kunitag, nitarejea kueleza mawazo yangu ambayo hayajakingamwa bado.

Hakuna uthibitisho kwamba mungu au shetani wapo, na hakuna lolote lililopimwa katika mizani ya fikra linaloonyesha kwamba dhana hizi za shetani na mungu zinatokana na ndoto za kufikirika zaidi kuliko ukweli wa mambo.

Pia hakuna uthibitisho kwamba kuna "roho" wala "uchawi", navyo vinaonekana kuwa ni wimbo uleule tu wa hadithi za kusadikika.

Katika jamii ambayo elimu ni anasa, upumbavu wowote uliosadikika kwa maelfu ya miaka bila kupewa pingamizi, unaweza kusimama kwa maelfu ya miaka ijayo.

Hata katika zama hizi za habari na Google.

Unaweza kunithibitishia, nje ya wigo wa imani -imani inaharibu kila kitu kwa sababu inawezesha yeyote kukubali chochote- kwamba mungu, shetani, uchawi, roho and all that supernatural etc ni vitu vilivyo kweli na si hadithi za kusadikika tu?
 
Kiranga bora umekuja naomba unisaidie kuwaelewa hawa watu...mtu anasema yeye ni mkristo yet anachambua what to believe na what not to believe au ana weka tafsiri yake binafsi tofauti na viongozi wake wa dini...sasa hawa watu tukisema hawaamini Chochote..tunawaonea? Halafu mada hapa ni kuamini ushirikina Upo...je ushirikina na dini Unaweza ku separate?
 
Last edited by a moderator:

Bora umeuliza hilo la ushirikina na dini, maana nilitaka kuuliza nikachelea kutoeleweka.

Kwangu mimi, ukiangalia mambo ya msingi kabisa na kuacha kuangalia tofauti za kuupara, ushirikina na dini vyote vina msingi mmoja.

Kuamini visivyothibitishika.

Kwa hivyo naweza kusema hata kuamini dini ni ushirikina tu, sema ushirikina ambao umepewa heshima na jamii.

Lakini ukichambua sana anayeagua kwa waganga mlingotini, kwa kuamini.mizimu au majini.yasiyoonekana wala kuthibitishika, na yule anayeomba mungu, allah, yesu etc, ambaye haonekani, kwa kupitia dini, wote ni wale wale tu.

Wanajiaminisha vitu visivyothibitishika.
 
Last edited by a moderator:

Na hata dini hazitaki mtu achague cha kuamini na kuacha kingine..dini kama uislam Wanasema wazi mtu aki pick and choose what to believe ni ushirikina wanataka ubebe yote as it is...wenyewe wanaita 'true dogma'
 
i love you more than you can imagine...i adore you...very smart woman with class
that's very rare
cc Fixed Point ...
Good, very good.........
Hopefully you will be saying this again and again without my friend Kaunga holding a gun directed to your neck........
hata kama mmetowowa miaka 30 iliyopita we still enjoy hearing those sweet phrases coming from you......, habari ndo hiyo rafiki
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh mkuu pagumu unajua hadi unaamua kumchagua mchumba basi manake moyo wk umetuliaa kwake hasa wale watu wa dini so inapotokea ishu hiyo n habari nyingine, UKISHAMPENDA MTU UTANYWESHWA MAJI KWA KIFUU UKAZANIA KIKOMBE YAAN HUNA HATA HABARI
 
ushirikina haukimbiwi bali unakemewa......tia mikwara miiiiingi watakukalia mbali...na uchumba utadumu mpaka ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…