Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,545
Yaani ni wasomi wengi sana wako ktk kundi hili. Wanatumia logic and five senses kushughulikia mambo ya rohoni (imani).
Kaunga hawa wasomi wana ona tu aibu kuongea in public exactly what they believe but deep in their heart wanaamini na probably wanaogopa
Teh teh teh....mtaja mwagiwa na misumu nyie:smile-big:.
Rituals ni subset ya ushirikina.
Sasa baada ya kumwagiwa hayo maji na mbuzi kuchinjwa, hiyo kheri uliipata?
NN kuna vitu unafanya just to go with the flow ya the elders....
Yes, I can't believe on everything said or written. Do you?
Yaani ni wasomi wengi sana wako ktk kundi hili. Wanatumia logic and five senses kushughulikia mambo ya rohoni (imani).
Inawezekana labda ndo maana wamisionari waliweza kupenyeza dini zao kwenye jamii zetu kwa sababu mababu na mabibi zetu walikuwa hawatumii five senses kuhoji.
They totaly believe that ilikuwa marufuku kuhoji waliokuwa wanafundisha bse yalikuwa mambo ya rohoni.
Hata leo unakuta Watanzania wengi badala ya kudeal na matatizo yao wanakaa kitako doing nothing huku wakiwa na imani Mungu wanayemwamini atashuka huko aliko na kuyaondoa matatizo yote.
Anyway, kama unasoma Bibilia kama kitabu chenye mambo ya kiroho au imani then you are not entitled to reason what is written therein.
Pia one may say that you would not be entitled to reason kilichoandikwa kwenye Kurani bse nacho ni kitabu cha ya kiroho au imani kinachoaminiwa na jirani yako. Si unatakiwa umpende jirani yako kamj unavyojipenda wewe mwenyewe?
Hii topic ya ushirikina inaenda na kuamini miujiza pia...je unaamini mfano miujiza ya Yesu kufufua watu those days? Sababu kama huamini haya ni sawa na kusema huamini dini kabisa
Najijua nilivyokuwa naenda kanisani kwa kutimiza wajibu. 99% nilikuwa nje kimawazo, najijua sasa ambapo ninashiriki ibada yote, nikitoka nje labda kwa 15%. Naenda si kwasababu ya kulazimika, lkn naenda kwa imani. The likes of wapo wa kutosha tu. Sio tu baada ya kutoka kanisani ukiwauliza theme ya leo ni nini lkn hata hawakumbuki masomo say muinjili na wala si mistari.Kaunga unajuaje mtu ni mkristu jina au mpasha kiti jumapili?
So unatumia nini macho kusoma biblia (history). Unatofautishaje na hadithi za alfu lela ulela?Kwani mtu anatakiwa awe na dini ili aweze kuamini kuwa Yesu alifufua watu?
ngumu mno, kubeba kila andiko kama lilivyo bila julitafakari.
Bottom line ushirikina ni useless.
Inawezekana labda ndo maana wamisionari waliweza kupenyeza dini zao kwenye jamii zetu kwa sababu mababu na mabibi zetu walikuwa hawatumii five senses kuhoji.
They totaly believe that ilikuwa marufuku kuhoji waliokuwa wanafundisha bse yalikuwa mambo ya rohoni.
Hata leo unakuta Watanzania wengi badala ya kudeal na matatizo yao wanakaa kitako doing nothing huku wakiwa na imani Mungu wanayemwamini atashuka huko aliko na kuyaondoa matatizo yote.
Anyway, kama unasoma Bibilia kama kitabu chenye mambo ya kiroho au imani then you are not entitled to reason what is written therein.
Pia one may say that you would not be entitled to reason kilichoandikwa kwenye Kurani bse nacho ni kitabu cha ya kiroho au imani kinachoaminiwa na jirani yako. Si unatakiwa umpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe?
So unatumia nini macho kusoma biblia (history). Unatofautishaje na hadithi za alfu lela ulela?
Daaa hapo kwenye mstari inawezekana kabisa maana kuna wengine wanarogwa hawajijui mpaka waambiwe.Point ni kuwa mtu akirogwa hawezi hata kujijua....so Unaweza sema aje mtu aniroge kumbe Tayari usharogwa
Lakini ulikuwa na unaamini yaliyo andikwa kwenye hivyo vitabu?Niliposoma Bible kwenye Divinity nilisoma kama nilivyosoma kitabu cha History cha How Europe Underdeveloped Africa.
Nakumbuka hata mwalimu wa Divinity ambaye alikuwa ni mchungaji alituasa kuwa kama tunataka tujue na kuuliza maswali kuhusu Bibilia then bora kuichukulia Bibilia kama kitabu kingine.
Inawezekana labda kusoma Divinity kumenifanya nisiwe too religious na kutaka kuhoji au kupata ufafanuzi wa baadhi ya mambo ambayo niliyasoma kwenye Bibilia.
Utaamini vipi haya nje ya dini?Pamoja na kusoma divinity kama kitabu cha history ina maana ulikuwa uhisi hisia zozote za kidini kwenye hilo somo?Kwani mtu anatakiwa awe na dini ili aweze kuamini kuwa Yesu alifufua watu?
ngumu mno, kubeba kila andiko kama lilivyo bila julitafakari.