Utaandika kitabu au paper?
naona interest yako inakitu perhaps unakuja nacho
au una wanafunzi unawafundisha na haya mambo mnayajadili?
Hahahhaa. No. I just don't like ushirikina. That's all.
Wengi wameashaandika kuhusu hii kitu: Raia Mwema - CNN inapoionyesha dunia ushirikina wa Watanzania…!
I hate ushirikina. I don't believe in those stuff and never will.
Inategemea. Kama na yeye anaamini kwenye mambo ya kishirikina na hataki kuacha hapo kutakuwa hakuna jinsi.
Lakini kama familia yake ina mambo ya kishirikina lakini yeye hana then hapo hakutakuwa na tatizo. Hapo sitaweza kumhukumu.
I hate ushirikina. I don't believe in those stuff and never will.
Hii ndiyo kauli ya mtu wa maana. Manake huu ujinga ulivyokolea nchini na unavyotumiwa kutengeneza pesa kupitia migongo ya wajinga wengi ni karaha kubwa sana. Utafikiri kama vile Mwenyenzi Mungu hakutupa karama za mantiki na uelewa (elimu) kabisa.
suluhisha ni kuwabadili kutoka kwenye mawazo yao ya nguvu za giza na kuwaweka kwenye right path.
You don't believe in ushirikina, why have feelings about them? (You said you hate).
Do you believe in God?
Thank you....a very good question
Tell me you love me one more time. Sikumbuki mara ya mwisho umeniambia lini.
Sasa kama una damu ya Yesu una wasiwasi gani?Heri hata ugundue wakati wa uchumba, kuna wengine wanagundua wakiwa wameshafungishwa pingu za maisha kabisa!
aisee nikigundua hiyo kitu sitaangalia mambo ya mapenzi tena, Muda wowote naweza ingiliwa, kama si mimi, basi ni mtoto wangu ama mke wangu...
Ushirikina, usikieni tu ukiwa na herufi zake.. ukikukuta kama hauna damu ya Yesu, basi ni majanga!
Huo uchumba bora ufe tu!
You don't believe in ushirikina, why have feelings about them? (You said you hate).
Do you believe in God?
Are you suggesting that to have feelings about ushirikina, you must first believe in it?
You also seem to differentiate between good feelings and bad feelings.
That hating ushirikina has to do with having bad feelings about it.
However, all feelings are good as they reflect back to how a particular experience is affecting you.
The fact that I don't believe in ushirikina does not necessarily mean that I should not reflect on, for example, how painful or hurtful it is to see Albinos being killed kwa sababu tuu za kishirikina,
Unless you elaborate on what you mean by "God" or "believe in God", then the default answer is no.
Needless to add, She must also distinguish between "believing God" and "believing in God"
Ukigundua familia ya mchumba wako ina mambo ya kishirikina Utavunja uchumba!?
i love you more than you can imagine...i adore you...very smart woman with class
that's very rare
cc Fixed Point ...
Utanidai kombe la dunia moja.
Nilitaka kusema hayo hayo, mtu hachagui familia ya kuzaliwa. Kama amejikuta kwenye familia ya kishirikina, cha kwanza ni kujua kama yeye hashiriki na haamini katika hayo. Kama haamini na hashiriki hakuna tatizo, ila kama anashiriki basi bora kuachana mapema.