Uchumba ni hatari sana...!

Uchumba ni hatari sana...!

yani mshikaji umeshindwa kuniambia msela wako kuhusu ukicheche wa shem wako unakuja kuomba ushauri humu jf?bora nimejua maana wewe ni mnafiki sana na unaona raha mm nikifa!!
 
inaonekana dushe tamu ? mbona baadhi ya mabinti/ wake za watu kuyarukia loh.. mapenzi yamekuwa mtihani mgumu hta mwalimu wake hana majibu
 
Kavu kavu! Ni hatari sana! Bora anae onja onja lazima abebe kinga! Ila alie ridhika akaweka mfugo mmoja anakanyagia ringi.

Hiyo signature yako Iko so kukata tamaa na life..umeitoa wapi?
 
loooh SIKILIZA NIKAMBIE TENGENEZA UZIBITISHO

THEN UNAMPELEKEA SUCH THAT WAPIGE PICHA WAKIWA WAMEKUMBATIANA AU ONGEA NA HUYONMSHIKAI WA KAZINI KAMA UNAMTANIA KUHUSU HUYO DEM THEN UNAMREKODI BIILA YYE KUJUA WILL HELP YOU
huo utakuwa umbea sasa
 
huo utakuwa umbea sasa

friends heelp each other

UNAJUA MAANA YA UMBEA AU UNAROPOKAA???

UMBEA NI KUSEMA UONGO

SASA KWENDA KWA MANENO JAMAA HATAMUELEWA AENDE NA UZIBITISHO

WEWE NDO YULE HATA UKIJUA JAMAA YAKO ANACHINJWA NA DEM FKANI KITAA NA WEWE UNAJUA SHE GAT IT UNAACHA

do you have friends??????
 
Kwei na pia naunga mkono
Sikia nikupe akili ili ucwe mby,mwambie jamaa amfanyie baby wake suprise aje bila information then mpitishe maeneo husuka ajionee mwenyw aamue kunyoa au kusuka akijua nywele hazifai kusuka,ucseme lolote mapenz noma anaweza hisi unamtaka demu wake
 
Back
Top Bottom