Uchumba ni hatari sana...!

Uchumba ni hatari sana...!

rafiki yako huwezi mwacha akatumbukia shimoni bana
 
wewe sio rafiki wa ukweli kwa jamaa na kama jamaa angejua kua wewe ni mnafiki sidhan kama angestahili kukusaidia hicho kipindi ulichokua na matatzo.Unadhan ni watu wangap wanakukimbia ukiwa na matatizo kama hyo ajali?kwa nini jamaa bado kabaki na wewe na kakusaidia mpaka umekua salama.Wewe ni mnafiki na sio rafiki wa ukweli mana kama rafiki wa kweli ungemuambia jamaa yako ukwel halisia au unamkarbsha ghafla ili aje kushuhudia mwenyewe,assume huyo dada akamuambukiza rafiki yako magonjwa lyk ukimwi,utajisikiaje?vitu vingine sio vya kuomba ushauri mana wewe hauongei umbea wala nini zaid ya kusimamia ukweli,invite your friend aje kushuhudia upumbavi wa huyo mchumba wake otherwise laana zitafall kwako na hautoishi kwa aman mana utakua unajisemea moyoni kua ningejua ningemuambia mapema.
Muda wa kutake action ni sasa na sio baadae
 
loooh SIKILIZA NIKAMBIE TENGENEZA UZIBITISHO

THEN UNAMPELEKEA SUCH THAT WAPIGE PICHA WAKIWA WAMEKUMBATIANA AU ONGEA NA HUYONMSHIKAI WA KAZINI KAMA UNAMTANIA KUHUSU HUYO DEM THEN UNAMREKODI BIILA YYE KUJUA WILL HELP YOU
masai dada umenena vyema, huyu anatakiwa kutafuta uthibitisho usio tia shaka ambao utamuweka hatiani huyo binti na yeye asionekane mbaya bali ana sema ukweli mtupu.

Kwenye hili swala maneno matupu haya takiwi kabisa bali ushahidi.

Sasa hivi anacho takiwa kufanya mtoa mada ni kuanza kutafuta ushahidi wa picha au video hili atakapo mwambia kusewe na doubt.

Kwakweli huyu akinyamaza ni sawa na kumuua rafiki yake kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Lee2 kabla ujakwenda kumwambia rafiki yako akisha una ushahidii hata wapicha.

Kwa ulivyo andika huyo ni kama ndugu yako kabisa hivyo kunyamaza ni sawa na kumuangamiza na si unajua magonjwa mengi.

Angalia sana usifanye kosa hilo.
 
sawa mkuu
 
kabisa mkuu
ila amuandae rafiki yake kisaikolojia
 
Last edited by a moderator:
Chuo gani huko Tabora? Utumishi wa umma aka Uhazili au kingine?

Maana watoto wako pale ni shidaaa,wanakimbiza Tabora na pana watoto wa mama Salma wengi kweli,so kaumia rafiki yako. na una jukumu la kumwokoa
 
yaani hapo unahitaji kujiuliza kweli kuhusu kumwambia rafiki yako???? huyo mwanamke akimuambukiza magonjwa utajisiaje??? tena unachelewa angalia usije kujilaumu baadae
 
Chuo gani huko Tabora? Utumishi wa umma aka Uhazili au kingine?

Maana watoto wako pale ni shidaaa,wanakimbiza Tabora na pana watoto wa mama Salma wengi kweli,so kaumia rafiki yako. na una jukumu la kumwokoa

kama ndo chuo hicho Lee2 mpe pole rafiki yako
 
Kama urafiki wenu ni wakweli ni bora ukamwambia rafiki yako ili asije kuangamia
 
Mkuu Lee2 kabla ujakwenda kumwambia rafiki yako akisha una ushahidii hata wapicha.

Kwa ulivyo andika huyo ni kama ndugu yako kabisa hivyo kunyamaza ni sawa na kumuangamiza na si unajua magonjwa mengi.

Angalia sana usifanye kosa hilo.

Hapi umenena mkuu
 
Last edited by a moderator:
wewe huna urafiki wowote kama unajua na huyo unae muita rafiki yako ameshakusaidia na kwa nini usimwambie!! weka mtego muite mshakji mwambie aje bila taarifa aje aone mali zinavoliwa kama wewe unaogopa kuonekana muongo akija mpeleke kwenye tukio vinginevo wewe utakua mnafiki tu!! rafki gani wewe unajua na unakaa kimya
 
Back
Top Bottom