Uchumba ni hatari sana...!

Uchumba ni hatari sana...!

Lee2

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
46
Reaction score
16
Mchumba wa rafiki yangu anatembea na jamaa tunayefanya naye kaz ofisi moja.

Ni binti niliyetambulishwa na rafiki yangu miaka 2 iliyopita tukiwa chuoni.

Yeye akiwa masomoni chuo kikuu kimojawapo mjini Dodoma na binti akiwa chuo kikuu kilichopo Tabora.

Mwaka huu bint kaajiria tena ofisi niliyopo na ni mimi niliyempokea baada ya kuambiwa nimpokee na rafiki yangu kipenzi.
Cha kushangaza sasa binti mpaka analala kwa jamaa.
Kwa upande wa rafiki yangu kila siku ananiulizia/kunipeleza kuhusu mwenendo wa mchumba wake na jamaa anavyomsifia mchumba wake eti (katulia, hawezi nisalti,na ni yeye ndo kila kitu.....nk).
Ugumu kwangu ni:- kwanza, jamaa anavyomsifia binti ni moja kwa moja atamwambia kuwa mi ndo niliyetoa taarifa hizo, pia kuendelea
Kumdanganya ni mtihani mgumu kutokana na ukweri kuwa jamaa ni rafiki wa karibu sana na ni yeye ndo aliyenisimamia kupata matibabu nilipopatwa na ajari na shida nyingi huwa tunasaidiana kweri ni rafiki wa karibu sana.

kwangu imetokea kutopendezwa na mienendo ya huyo binti kwani ni mwezi 1 tu umepita tangu aajiriwe hapa, pia nashindwa hata kumkanya, maana nawaona mapenzi yao na jamaa yapo motomoto. Nipo njia panda najua nikimwambia jamaa, anaweza mwambia binti si unajua mapenzi.... Yaani mi nikaonekana muongo... Kwa upande mwingine huwa sipendi kundanganya Any way jambo hili ni gumu kwangu!
Kwa kweri wanawake wengine majanga tena Sugu.
 
Wewe unachotakiwa kufanya mwambie rafiki yako ukweli.

Unachokiogopa nishakifahamu ukimwambia mshikaji unaona mshikaji atakumaindi wewe ila wewe nakuomba umwambie mshikaji kama kuwaka na kiwake.

Kwa kuwa muwazi kumwambia mshikaji ukweli ni jambo la maana kuliko kuwa kimya

Narudia tena pasua jipu
 
Kwa staili hiyo hata urafiki sometimes hauna maana
 
Nina wasi wasi wewe umeshawahi kumtongoza huyo binti,ukapigwa chini.Unachoogopa sasa hivi ni kuwa binti naye anaweza kulisanua hilo,ndo maana hakuogopi.Mashemeji nuksi..
 
Mchumba wa rafiki yangu anatembea na jamaa tunayefanya naye kaz ofisi moja.

Ni binti niliyetambulishwa na rafiki yangu miaka 2 iliyopita tukiwa chuoni.

Yeye akiwa masomoni chuo kikuu kimojawapo mjini Dodoma na binti akiwa chuo kikuu kilichopo Tabora.

Mwaka huu bint kaajiria tena ofisi niliyopo na ni mimi niliyempokea baada ya kuambiwa nimpokee na rafiki yangu kipenzi.
Cha kushangaza sasa binti mpaka analala kwa jamaa.
Kwa upande wa rafiki yangu kila siku ananiulizia/kunipeleza kuhusu mwenendo wa mchumba wake na jamaa anavyomsifia mchumba wake eti (katulia, hawezi nisalti,na ni yeye ndo kila kitu.....nk).
Ugumu kwangu ni:- kwanza, jamaa anavyomsifia binti ni moja kwa moja atamwambia kuwa mi ndo niliyetoa taarifa hizo, pia kuendelea
Kumdanganya ni mtihani mgumu kutokana na ukweri kuwa jamaa ni rafiki wa karibu sana na ni yeye ndo aliyenisimamia kupata matibabu nilipopatwa na ajari na shida nyingi huwa tunasaidiana kweri ni rafiki wa karibu sana.

kwangu imetokea kutopendezwa na mienendo ya huyo binti kwani ni mwezi 1 tu umepita tangu aajiriwe hapa, pia nashindwa hata kumkanya, maana nawaona mapenzi yao na jamaa yapo motomoto. Nipo njia panda najua nikimwambia jamaa, anaweza mwambia binti si unajua mapenzi.... Yaani mi nikaonekana muongo... Kwa upande mwingine huwa sipendi kundanganya Any way jambo hili ni gumu kwangu!
Kwa kweri wanawake wengine majanga tena Sugu.

Anafanya makusudi ili umwambie rafiki yako. Ingekuwa yule Osokoni niliyemsoma humu ndani angeanza kula mzigo na baadaye kumwambia rafiki yake aachane na huyo bibie maana hana nia.
 
Nina wasi wasi wewe umeshawahi kumtongoza huyo binti,ukapigwa chini.Unachoogopa sasa hivi ni kuwa binti naye anaweza kulisanua hilo,ndo maana hakuogopi.Mashemeji nuksi..

du....! Kumbe na faulo zimo Jf?
 
Sikia nikupe akili ili ucwe mby,mwambie jamaa amfanyie baby wake suprise aje bila information then mpitishe maeneo husuka ajionee mwenyw aamue kunyoa au kusuka akijua nywele hazifai kusuka,ucseme lolote mapenz noma anaweza hisi unamtaka demu wake
 
Hafai kuwa mke, fanya mtego mwambie rafiki yako aje ila siku ambayo huyo binti amelala kwa huyo bwana!!! Fanyeni la maana vinginevyo rafiki yako anaoa changudoa.
 
Sikia nikupe akili ili ucwe mby,mwambie jamaa amfanyie baby wake suprise aje bila information then mpitishe maeneo husuka ajionee mwenyw aamue kunyoa au kusuka akijua nywele hazifai kusuka,ucseme lolote mapenz noma anaweza hisi unamtaka demu wake

naunga mkono hoja
 
loooh SIKILIZA NIKAMBIE TENGENEZA UZIBITISHO

THEN UNAMPELEKEA SUCH THAT WAPIGE PICHA WAKIWA WAMEKUMBATIANA AU ONGEA NA HUYONMSHIKAI WA KAZINI KAMA UNAMTANIA KUHUSU HUYO DEM THEN UNAMREKODI BIILA YYE KUJUA WILL HELP YOU
 
Kwa hiyo wewe unaona raha rafiki yako anavyochapiwa?Ugumu unakujaje hapo kama kweli unampenda rafiki yako?
 
Back
Top Bottom