suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,211
Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza kwa nini binadamu tumekuwa na tabia ya kuchukua video kwenye msiba ni kwa lengo gani hasa (kumbuka hapa sizungumzii kwa ajili ya vyombo vya habari).
Unakuta kwenye msiba mtu yuko busy na kamera yake akichukua matukio ya msiba. Hivi baada ya kuchukua matukio haya kuna siku mtu unaweza kabisa ukakaa sebuleni kwako ukaanza kutazama video uliyoichukua/chukuliwa kwenye msiba.
Let say wa mzazi au ndugu yako wa karibu Kama ambavyo unaweza tazama video ya harusi au sherehe zozote zile. Kama sivyo kwa nini basi watu wachukue video msiba?