Kwani hauwezi kuitumikia Chadema mpaka ugombee ubunge, naona unataka kupingana na Mbowe angalia usifukuzwe.Mkuu hapa lazima mvutano utakuwepo, hebu fikiria vijana wengi wa BAVICHA na CHASO wana ndoto za kugombea nafasi za ubunge 2015, sasa hapo bado hatujachanganya na vijana wa CUF na NCCR aiseee hapa tuwe makini isijetokea kizaazaa hasa ukizingatia vijana wengi ni sample ya Kisandu na Mtela ambao kwao kuropoka kwny media sio shida na weng hawana uvumilivu wa kisiasa.
ALL IN ALL MWISHO WA SIKU UKOMBOZI UTAPATIKANA TU.
Mkuu hapa lazima mvutano utakuwepo, hebu fikiria vijana wengi wa BAVICHA na CHASO wana ndoto za kugombea nafasi za ubunge 2015, sasa hapo bado hatujachanganya na vijana wa CUF na NCCR aiseee hapa tuwe makini isijetokea kizaazaa hasa ukizingatia vijana wengi ni sample ya Kisandu na Mtela ambao kwao kuropoka kwny media sio shida na weng hawana uvumilivu wa kisiasa.

UKAWA ina watu makini kuliko inavyotarajiwa. Criteria ya kisayansi itatumika kuachiana kugombea.
kweli kabisa.. turudi kwenye nafasi ya mwenyekiti wa UKAWA TAIFA, mpambano kati ya dj Mbowe. mchumi Lipumba na msomi Mbatia sijui utakuwaje,,Hakuna wa kukubali kushindwa..hahaha,..yetu macho
Kamanda acha uchochezi, jadili uhalisia wa hoja, wasiwasi hapa sio uongozi wa juu sababu ni watu wanaojitambua pia wana experience ya kutosha kuhusu siasa na uongozi hivyo si rahisi kutokea mvutano.
Tatizo ni huku chini kwa vijana ambapo huwa hakuna uvumilivu bali ni fighting bila suluhu.
UKAWA ina watu makini kuliko inavyotarajiwa. Criteria ya kisayansi itatumika kuachiana kugombea.
Wewe bavicha unamatatizo kweli unataka ubunge kwa akili yako kama hii kweli chadema na ukawa ni bonge la tatizo kwa tanzania.Mkuu hapa lazima mvutano utakuwepo, hebu fikiria vijana wengi wa BAVICHA na CHASO wana ndoto za kugombea nafasi za ubunge 2015, sasa hapo bado hatujachanganya na vijana wa CUF na NCCR aiseee hapa tuwe makini isijetokea kizaazaa hasa ukizingatia vijana wengi ni sample ya Kisandu na Mtela ambao kwao kuropoka kwny media sio shida na weng hawana uvumilivu wa kisiasa.
ALL IN ALL MWISHO WA SIKU UKOMBOZI UTAPATIKANA TU.
mkuu. hivi mzee mtei atakubali mwenyekiti wa Ukawa Taifa awe Lipumba?
Hivi hii ukawa mnadhani itavuka hata daraja la salenda?
bado sikubaliani na
wewe mkuu..hivi hukumbuki ule mvurugano uliotokea baada ya zito kuchukua
fomu ya.kugombea uenyekiti taifa? mi nina uhakika kwenye uongozi wa juu
ndio.itakuwa shida zaidi..hivi chadema watakubali mwenyekiti atoke cuf
wakati wanadai wanakubalika zaidi?
UKAWA muda si mrefu wataanza vita ya wao kwa wao, katika kugombea nyadhifa mbalimbali.
Ukiwa na akili finyu kero sana.
Zanzibar-CUF (Maalim Seifu)
Tanganyika- NCCR (Mbatia)
Tanzania-CHADEMA (Dr. Slaa)
Ni chungu ila ndio ukweli.