Uchoyo bwana, hebu usifungue hapa!

Praff

Senior Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
139
Reaction score
12
Mama nyimabondo alikuwa ameshapika chakula ndipo akaenda kwa bwana wake ambaye kwa muda huo alikuwa anacheza drafti na wenzake chini ya mwembe jirani kidogo na nyumba yao. Alipofika pale hakutaka kuwakaribisha wote, akatumia mbinu hii:
"we baba nyimabondo, kichwa kama chakula tayari" mme wake akajibu kwa ghadhabu "we mpumbavu nini, ntakupiga sasa hivi, unataka nifungwe drafti ee, PUA KAMA TANGULIA NAKUJA"
 
hahahaaaaa, nimepiga chabo bana
 
kichekesho kibaya creativity ndogo ila nimependa jina nyimabondo.
 
samahan nimekosea mlango.....
 
Imegoma kufunguka. Ingefunguka, nadhani ningefurahi!!!........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…