Mkuu,
Ushauri wangu,jaribu kuangalia social life yako, jaribu Fanya michezo ujumuike na watu wengi, jaribu kutafuta kitu unachopenda na ukifanye mfano, disco, kuogelea, kuimba, football.
Angalia pia malengo yako na ujaribu kuyatimiza .Sometimes watu wakifail kutimiza malengo yao huwa inawaongezea matatizo.
Pia check afya yako, mfano, kama ni mnene sana, jaribu kulose some weight, itakusaidia sana.maji mengi tena asubuhi ni lazima.