uchokozi jamani

Salalaaaaa!! Haya Jumapili njema


Sent from my EyePhone
 
Dah mpododo huo jamaa angu watu8
 
Last edited by a moderator:
Haa huyu mduu anajua kubana matumizi amebania hela ya kununulia ile nguo ya kubana makalio
 
Daaaa nshaaaa nshhhhhh ,, jamani ni utamu wa mshikaki!!! Tuendako sijui ahsante englibertm!!!!!!
 
Unajua le n' siku ya Bwana..:nono:
 
Uwiii!
Mpododo uko njema sana,duuh laaanakhum!
 
Huu kweli uchokozi. Hatari kubwa.
 
Mkuu usiweke picha za mademu wetu humu ndani unataka tunyang'anywe nini? Ona walivyotoa majicho wengine wameshaanza kupigia mahesabu mtandao pendwa. LOL...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…