kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,949 Oct 20, 2017 #1 Unahisi hapa alitaka kutaja kabila gani????
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,604 188,815 Oct 20, 2017 #3 Nawakumbusha Kuna makabila 200.
SK2016 JF-Expert Member Apr 6, 2017 7,971 13,663 Oct 20, 2017 #6 Labda angekuwa kabila la Wasiojulikana.
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,949 Oct 20, 2017 Thread starter #7 omarion5 said: Uchochezi uko wapi hapo sasa Click to expand... We unadhani huyo jamaa kilichomshinda kujibu ni kitu gani????
omarion5 said: Uchochezi uko wapi hapo sasa Click to expand... We unadhani huyo jamaa kilichomshinda kujibu ni kitu gani????
omarion5 JF-Expert Member Oct 14, 2017 5,206 17,677 Oct 20, 2017 #8 kichomiz said: We unadhani huyo jamaa kilichomshinda kujibu ni kitu gani???? Click to expand... Ndo uchochezi?
kichomiz said: We unadhani huyo jamaa kilichomshinda kujibu ni kitu gani???? Click to expand... Ndo uchochezi?
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,949 Oct 20, 2017 Thread starter #9 omarion5 said: Ndo uchochezi? Click to expand... Ndio maana yake , kuna watu hawataki kutajwa kwa mabaya yao wanataka kila mara wasifiwe tu
omarion5 said: Ndo uchochezi? Click to expand... Ndio maana yake , kuna watu hawataki kutajwa kwa mabaya yao wanataka kila mara wasifiwe tu
omarion5 JF-Expert Member Oct 14, 2017 5,206 17,677 Oct 20, 2017 #10 kichomiz said: Ndio maana yake , kuna watu hawataki kutajwa kwa mabaya yao wanataka kila mara wasifiwe tu Click to expand... Ni wasukuma ngoja nisaidie kujibu.
kichomiz said: Ndio maana yake , kuna watu hawataki kutajwa kwa mabaya yao wanataka kila mara wasifiwe tu Click to expand... Ni wasukuma ngoja nisaidie kujibu.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,992 69,391 Oct 21, 2017 #11 Hahaha kweli uchochezi hataki jamaa
C Capt Tamar JF-Expert Member Dec 15, 2011 11,748 14,651 Oct 21, 2017 #14 Hebu ngoja> SHEhoza-SHEmtibwa-SHEmzinghwa-SHE---- Mh sijui!
Chupayamaji JF-Expert Member Sep 19, 2017 5,786 13,563 Oct 21, 2017 #16 Jamaa ahakikishiwe usalama ili ataje mpo tayari kumtetea mi naenda zimbabwe
hydroxo JF-Expert Member Oct 19, 2015 2,812 5,605 Oct 21, 2017 #18 Angekuwa kabila moja na yule mshkaji wa pale magogoni.
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,949 Oct 21, 2017 Thread starter #19 omarion5 said: Ni wasukuma ngoja nisaidie kujibu. Click to expand... Ohooo mkuu hawachelewi kukupeleka kwa mkemia mkuu
omarion5 said: Ni wasukuma ngoja nisaidie kujibu. Click to expand... Ohooo mkuu hawachelewi kukupeleka kwa mkemia mkuu
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,949 Oct 21, 2017 Thread starter #20 Chupayamaji said: Jamaa ahakikishiwe usalama ili ataje mpo tayari kumtetea mi naenda zimbabwe Click to expand... Ahahahahaaa siku hizi hata ukitaka kupokea sim ,unageuka pande zote kwanza kuangalia uslama ndio unapokea
Chupayamaji said: Jamaa ahakikishiwe usalama ili ataje mpo tayari kumtetea mi naenda zimbabwe Click to expand... Ahahahahaaa siku hizi hata ukitaka kupokea sim ,unageuka pande zote kwanza kuangalia uslama ndio unapokea