Uchochezi?

Shani yetu watanzania haikuja tu hivi hivi kama bahati. Nijitihada za makusudi kabisa zilizofanywa na wazazi wetu. Uvumilivu na upendo miongoni mwao.

Dini na imani zetu hazitumii akili, ukijikuta wewe ni mkristo Sio kwasababu unaakili nyingi kuliko ndugu zako wahindu.
 
Sikiliza Masanja sikilizeni nyote,
swala sio jina ndio dini hapana isipokua mwandishi wa hilo jina ktk hiyo bucha hakuchukua tahadhari kwa kuchunga kuwekewa dhana mbaya maana watu wenye akiri iliyosalimia huchukua tahadhari ktk kuyaendea mambo.
Mfano yesu ni jina kama majina mengine yalivyo lakini akitokea mtu akaamua kuandika ktk bar yake
YESU BAR au YESU GEST H.
sisi lazima tutamnasihii afute hilo jina na atafute jina lingine atumie ili kuchunga kuwekewa dhana mbaya
 
Yesu bar Sio tatizo
 
Hutaniwi???
Nataniwa sana lakini kuna mazingila mengine ya utani yanaweza kuzaa vurugu hivyo ni vema kuchukua tahadhari wakati wa kutania ili tuendelee kushangilia marunda ya uhuru sote kwa pamoja
 
Nataniwa sana lakini kuna mazingila mengine ya utani yanaweza kuzaa vurugu hivyo ni vema kuchukua tahadhari wakati wa kutania ili tuendelee kushangilia marunda ya uhuru sote kwa pamoja
Lisemwalo lipo mkuu...
Ni Ukweli usiopingika kuwa baadhi ya waumini WA dini ya waislam hula kitimoto.
 
Lisemwalo lipo mkuu...
Ni Ukweli usiopingika kuwa baadhi ya waumini WA dini ya waislam hula kitimoto.
Ni kweri kabisa mkuu kiti moto huliwa na baadhi ya waislamu kama kisivyoliwa na baadhi ya waumini wakirsto lakini pamoja na hali hiyo hatuna budi kuchunga imani za wenziwetu wenye mtizamo tofauti nasi
 
Kumbuka kuwa muumini WA dini /imani haitumii akili.
 
Yesu alitembea juu ya maji. Wakristo tunaamini hivyo. Ukitumia akili tu wewe unaachana na ukristo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…