Uchochezi?

Haihitaji uwe na akili kama Isaac Newton ndo ujuwe ulichokusudia bali ni akili ndogo tu kama ya mb rema.Ondoa pandiko lako tu
Aisee basi nikadhani utajitolea mfano mweny
 
Umeongea kweli
 
Kama watu wa dini zote wangeshikilia na kufuata kwa dhati mafundisho ya dini zao, magereza yangekua na uhaba wa wafungwa.

Si wakristo wala waislam wanaoweza kukwepa uvunjifu wa maadili. Mabaa, uasherati, ujambazi na ukatili unafanywa na wote wakristo na waislam.
 
Umu wanafiki wamo, nendeni Russia
muone watu wanavyopenda kitimoto.
 
Mshana Jr wewe ndo mchochezi una hakika kuwa jamaa ni Muslim
Nathani tatizo hapo sio dini au dhehebu la mtu, bali matumizi ya jina la imani fulani kutangaza biashara ni kinyume na imani ya watu wanaotumia jina hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…