itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Sep 4, 2017 #21 hao matarafiki watakuwa wanaidai huko kwao au
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,565 Reaction score 9,813 Sep 4, 2017 #22 Hii picha kila nkiangalia lazima nicheke,nina uhakika hata pogba kama aliiona lazima aliachia walau tabasamu.ubunifu wa hali ya juu,hizo pua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii picha kila nkiangalia lazima nicheke,nina uhakika hata pogba kama aliiona lazima aliachia walau tabasamu.ubunifu wa hali ya juu,hizo pua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sammo Hung JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 1,165 Reaction score 1,360 Sep 11, 2017 #23 Mwanzoni nilijiaminisha kwamba nimeielewa hii picha ila baada ya kuwaangalia vizuri hao askari kuwa ni wazungu, naanza kuitafakari upya..
Mwanzoni nilijiaminisha kwamba nimeielewa hii picha ila baada ya kuwaangalia vizuri hao askari kuwa ni wazungu, naanza kuitafakari upya..