"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na Nguvu sawa kwenye Kuunda Hatma ya Nchi (Katiba), Huu ni Uchizi.. "Mch Gwajima, Sunday speech Leo.
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
Uamsho wanajiiniza kwenye mambo ya kuhatarisha amani kwa kufanya vurugu na kuchoma makanisa. Gwajima kasema ukweli,population zanz:tanyka= 1:43 itakuwaje kwenye uwakilishi kwenye suala nyeti la kuamua hatima yetu iwe znz:tanyka =1:1? Huu ni uchizi wa magamba wa bara waliobaki kutetea rasimu ya kipumbavu ndani ya bunge
Angalia msijemkawa mnatukana baba wa taifa aliyeunganisha nchi mbili hizi! Ohoo, Mwalimu Nyerere ndiye aliyeunganisha hizi nchi mbili na kwa wakati huo population ya ZNZ ilikuwa ndogo zaidi kuliko ilivyo sasa!
Muungano haukufanywa kwa kuangalia idadi ya watu bali hadhi ya nchi zilizounda muungano.