Uchi wa mbuzi

Nimekusoma mkuu...pamoja sana
 
Nilivyoona kichwa cha habari nikaja faster nilikua kuna picha yake
 
Nilivyoona kichwa cha habari nikaja faster nilikua kuna picha yake
Dah...nimekuja kasi kwa kujua ni dawa mpya ya kuongeza "pumzi" imegunduliwa....dah😀😀😀
Watu na tafsiri zao
 
Asanteee sana mme wangu kwa somo zuri nipo nawe bega kwa begaaa kwa begaaaa

Hakikaaa mwaka huu lazima akili yangu itakaa sawa katik kupambanua mambo mazito yenye uelewa wa hali ya juuu kama haya .
 
Asanteee sana mme wangu kwa somo zuri nipo nawe bega kwa begaaa kwa begaaaa

Hakikaaa mwaka huu lazima akili yangu itakaa sawa katik kupambanua mambo mazito yenye uelewa wa hali ya juuu kama haya .
Mekumiss vp kazi lakini takupitia jioni lovie
 
Na inaelekea moja ya sifa ya kateuliwa na Mungu kuwa Kiongozi wa majini wema, ni kutumia madaraka kiubabe kuzaa na wake za watu. Vinginevyo unaelezaje hilo?
 
Safiii nitakusubur tu hun

Nakuombea uendelee kuwapa somo zuri mawifi na mashemeji zangu
Kwa ajili yako naandika sauti hii sikia... Zingatia urembo... Usipuuze mrembo... Unamkumbuka Huseni Machozi na wimbo wake wa kwa ajili yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…