Uchenjuaji wa Dhahabu

The Inspire55

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
12
Reaction score
22
Uchenjuaji wa madini hulenga kutenganisha madini kapi(gangue) kutoka kwenye mbare(Ore). Lengo la uchenjuaji ni kutenganisha madini katika mazao mawili madini yenye thamani(Consetrate) na madini taka(Gangue Mineral) yawe kwenye taka(Tailings). Ili uchenjuaji ufanyike Hatua mbili zinatakiwa kufatwa.
1. Upondaji na usagaji ili kupunguza ukubwa wa chembe ili madini ya thamani yawe huru.
2. Utenganishaji kati ya madini ya thamani na yasiyo na thamani kwa kutumia njia pendekezwa kwa kila aina ya madini.
Elimu kuhusiana na unachopenda kuwekeza ndo msingi wa mafanikio ya hela uliowekeza. Huanza elimu kisha pesa ufata ili kilicho baki kichwani baada ya kufundishwa ukifanyie kazi kwa kutumia pesa ulizo nazo.
#0717180968
#0753021057_Whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…