Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 120 Reaction score 187 Oct 1, 2024 #1 Kadri tatizo la afya ya akili linavyoongezeka, na wachekeshaji nao wanaongezeka.
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,142 Reaction score 4,514 Oct 1, 2024 #2 Na vichaa ndio wanapenda kucheka
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,715 Reaction score 131,862 Oct 1, 2024 #3 Na machawa wanajigaragaza kwenye vumbi kabisa😁
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,311 Reaction score 89,480 Oct 1, 2024 #4 Shida na wachekaji wanaongezeka.
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,692 Reaction score 6,371 Oct 1, 2024 #6 Mad Max said: Shida na wachekaji wanaongezeka. Click to expand... Inapiga na kuchapa kotekote kwa kuwa wote ni wehu,,Sema tunatofutiana kiwango cha uwehu
Mad Max said: Shida na wachekaji wanaongezeka. Click to expand... Inapiga na kuchapa kotekote kwa kuwa wote ni wehu,,Sema tunatofutiana kiwango cha uwehu