Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,292
- 1,867
Akili yangu inaniambia kuwa yawezekana ni njia ya kuwafundisha watu wanaokaidi suala la kula hovyo hadharani.Kaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Naunga mkono hoja.We ni mlokole if yes jitafakari mienendi yako
Nilienda kibosho,nikakutana na bibi Mmoja ,akaniambia mjukuu wangu najua nimgeni uku,nenda kachume Jani la kahawa haraka,uweke mfukoni,kabla haujapigwa zongoKaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Nilipigwa zongo uko upareni kwenye sherehe wee nikapewa dawa moja inaitwa Makata kadogo afu keupe kana ladha kama magadi.. nilitapika vibaya sana.. ila ikawa pilau la viungo nikilisikia linapikwa najiskia vibaya mnoo.. hali ilikuja ikaisha yenyeweKaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Huku Rorya wanaita Picha Ng'adaKaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Yawezekana pia… ila inaumiza mnoAkili yangu inaniambia kuwa yawezekana ni njia ya kuwafundisha watu wanaokaidi suala la kula hovyo hadharani.
Zongo linauzwa kuanzia shilling 500 Hadi elfu kumi.Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kuliko na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nikicho kula hakutoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila nikawa kama na kiriba tumbo nikafanya mazoez ili nipate haja wapi siamin ktk maombi ila usku nikamtafuta mama alipo nikamuelezea akaanza kuomba ndo usku sana nikaanza kupata choo.
Katika kuadisi watu, kuna mtu nae alisema walienda kwao mkoani kipindi yupo kama form three akanunua karanga kula njiani kuna mzee akamuangalia sana kuna karanga kama ikampalia iv, aliumwa sana kwenda hospital wap ndo wakaenda kwa bibi yao uko wakampa dawa za asili meza akalala pale kesho yake akatapika sana wakamwambia usile vitu njiani.
Haha! Na yenyewe mnatumia macho kuadhibu watuHuku Rorya wanaita Picha Ng'ada
seniormember kwenye Moja na mbili😁Nimependa tu jinsi unavyoandika. Mpaka raha kusoma yaani dah!
Kwani wana zongo la kupiga mtu nje na akiwa anakula, au kashika kinacholiwa?Nilienda kibosho,nikakutana na bibi Mmoja ,akaniambia mjukuu wangu najua nimgeni uku,nenda kachume Jani la kahawa haraka,uweke mfukoni,kabla haujapigwa zongo
Nilikua kwenye sherehe ,muda wa msosi ulikua tunakaribia,msosi ,bia mbegeKwani wana zongo la kupiga mtu nje na akiwa anakula, au kashika kinacholiwa?
Kuna watu kiasili kabisa wanazaliwa hawarogeki au nguvu za giza kuwasumbua ,Naomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asiowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??
Haswa wamaasai wanapiga zongo hatari!Kaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Kuna watu wana nguvu flani za asili either za kusaidia watu au kuumiza watu lakini hawajui kama wana nguvu hizo. Kama wewe unaitwa mshirikina na huendi kwa waganga na sio mchawi unayejijua, basi uwezekano ni kuwa wewe una nguvu za asili zinazoumiza watu bila wewe kujitambua.Naomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asiowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??
Dunia Ina mambo mengi sana aisee
AiséeeZongo linauzwa kuanzia shilling 500 Hadi elfu kumi.
Hili la elfu kumi ndio linaitwa zongo maiti akipigwa mtoto Hilo kumaliza siku 3 haijawahi..Wanasema huwa inakimbilia utosini mwa mtoto utosi unavuta Sana na mtoto huanza kulia saaaana.
Tanga kumnyoko Kwa mazongo na Sasa hivi hawapigi wabibi ni wamama wa makamo kuanzia miaka 30 hadi 45 anaacha anatafuta mtoto wa kufundisha.
Majirani mtajua anaendelea kupiga watu zongo kumbe ameacha Muda mrefu Sana Ila mpigaji ni mtoto wake wakati mwingi hata vijana Wapo katika huu mkumbo.
Mazongo yanauzwa sokoni kipindi cha ghulio yaani masoko ya siku.
Mafano Kijiji cha itigi kutakuwa na soko Juma 3 basi hapo wauzaji WaPo Na wanunuzi wapo.