wee ngabu weeHakuna uchawi wewe.
Kama upo na kama unamjua mchawi yeyote yule, mwambie aniroge.
Mwenzio gfsonwin alijaribu akachemsha akaishia kula kona.
Na hii ofa ni kwa wachawi wote waliopo JF.
Nirogeni mnithibitishie kuwa kweli uchawi upo na si longolongo tu.
Nenda zako huko mnafiki mkubwa wewe, Tena wewe unaonekana ni gagula hatari Sana, unajifanya hujui kitu kumbe ni pepo baya kabisa wewe you're aImani za kishirikina ni imani za watu wenye akili ndogo sana.
Usipoteze muda kubishana na shoga la North Carolina limetatuliwa marinda hadi akili imekufa.Siwezi endelea kubiashana na wewe, yaelekea hapo bado umejifunika shuka uliyonunuliwa na wazazi ndio maana una jeuri ya kuongea. Waliopitia shuruba na wenye akili timamu hili si suala la kubiashana
Naamini wewe u mtoto sababu kama unasema hakuna uchawi basi hakuna shetani na kama hakuna shetani basi hakuna Mungu..kua uyaone wewe bado mtoto wa Mama
Nenda zako huko mnafiki mkubwa wewe, Tena wewe unaonekana ni gagula hatari Sana, unajifanya hujui kitu kumbe ni pepo baya kabisa wewe you're a
wee ngabu wee
sikula kona il ya nini kumkosea muumba wangu?
kama huamini ngoja utayaona
According to your faith but witchcraft do exist, believe what you believe and I believe what I knowUkitaka wabamba watanganyika waambie story za uchawi, ulozi na ushirikiana. Naona story za uchawi zimejaa humu lately
HAKUNA uchawi. Watu wanaoamini uchawi Ni delusional na wenye uwezo Mdogo wa kufikiri
Huo ni ushuhuda wake kamili hakuna cha kuongeza hapoMshana Jr na mzizimkavu kujeni hapa maana nyie ndy mabingwa wa mambo hayo!
Wacha wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86]Imani za kishirikina ni imani za watu wenye akili ndogo sana.
ujue, NgabuNiaje dada?
Bado nadunda tu..sasa wewe unasema nitayaona....nitayaona lini?
ujue, Ngabu
huwaga nacheka sana nikikuona
well stay full of joy dude
much respect