Taarifa zote za kwenda kwa mke mdogo kuvuta bangi, kwenda kichakani kukata fimbo zilipatikana kwa mke wake mdogo. Lkn pia pale kichakani tulikuta kinyesi kibichi kabisaHahah... Nilichoelewa ni kwamba una miaka 30.. Kwamujibu wa hadith yako tumeona jamaa ameuliwa na tembo. Na kama mlimkuta ameshakufa mlijuaje kama alienda kwa mke mdogo kuvuta bangi? Mlijuaje alienda kwenye kichaka kukata fimbo akamchape mkewe? Mlijuaje alihisi kunya alipofika kichakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi wamenitesa sana ila na wao nimewatesa sana maana walikuwa kila wakija iwe mchana au usiku Mie nawaona kuna kipindi nilikaa wiki mbili bila kulala tunasumbuana mwisho wakamtuma mwenzao akaja live na kuniambia Kumbe Mie mtoto lakini ni mkubwa
Ko mkuu ulikuwa unawaonaje yaani?Wachawi wamenitesa sana ila na wao nimewatesa sana maana walikuwa kila wakija iwe mchana au usiku Mie nawaona kuna kipindi nilikaa wiki mbili bila kulala tunasumbuana mwisho wakamtuma mwenzao akaja live na kuniambia Kumbe Mie mtoto lakini ni mkubwa
Dah,,,,,kuna mtu nahangaika naye toka 2000 hadi leo hata kuonja sijaonja...dah 😛Ndiyo mkuu. Ushakuwa mtu mzima sasa
Dah.....ndiyo dawa yake hasa....
Wale wanacheza na akili yako.Furaha yao kukutisha ukiogopa ndo Furaha yako.Nilikuwa nafanya Kazi ya ulinzi nilikuwa siyagopi majini nayatukana.Dah.....ndiyo dawa yake hasa....
Wale wanacheza na akili yako.Furaha yao kukutisha ukiogopa ndo Furaha yako.Nilikuwa nafanya Kazi ya ulinzi nilikuwa siyagopi majini nayatukana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetumwa alikua mwanaume au mwanamke ? Maana patakua patamu kama alitumwa mwanamkeWachawi wamenitesa sana ila na wao nimewatesa sana maana walikuwa kila wakija iwe mchana au usiku Mie nawaona kuna kipindi nilikaa wiki mbili bila kulala tunasumbuana mwisho wakamtuma mwenzao akaja live na kuniambia Kumbe Mie mtoto lakini ni mkubwa
Jitwangabalogi
HaupiUchawi nausikiasikia tu kwa watu na naomba ktk maisha yangu usinitokee
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Usiwe mwoga hakuna uchawiHivi vitu vipo sana tu na usishangae walio wabishi sana kuhusu uchawi wengi ni wachawi concord.Mimi nawaogopa sana watu walio wachamungu kupitiliza.Sio waislam wala wakristo.
Wachawi wamenitesa sana ila na wao nimewatesa sana maana walikuwa kila wakija iwe mchana au usiku Mie nawaona kuna kipindi nilikaa wiki mbili bila kulala tunasumbuana mwisho wakamtuma mwenzao akaja live na kuniambia Kumbe Mie mtoto lakini ni mkubwa