Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Hahaa sio kwa kucheka huko mhh
Nilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwamkuu mshana jr hebu sema kidogo hapa
Simple word but bitterNilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
😀😀😀😀😀😀 mkuu na wewe unaanza ramli chonganishi sasaNilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
Ni mfano hai tu😀😀😀😀😀😀 mkuu na wewe unaanza ramli chonganishi sasa
.Nilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
Hilo jicho limenifurahisha jamaniiHahaa sio kwa kucheka huko mhh

Mkuu,kwa heshima na taadhima id yako hakuna kiunbe kitaitambua.Hahahahahaaaa.Kijicho?Ubinafsi?Nilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
Mkuu,kwa heshima na taadhima id yako hakuna kiunbe kitaitambua.Hahahahahaaaa.Kijicho?Ubinafsi?
#cc:Humphrey Poulepouleeee

Haha dah i seeHilo jicho limenifurahisha jamanii![]()
![]()