Uchawi na kilimo

Ujue uchawi upo kwenye kila sekta ya uzalishaji mali, maofisini & majumbani n.k.
Muhimu ni kujiweka sawa tu kuanzia nyumbani wewe pamoja na familia yako & kazini kwako.

Maana mchawi/mwanga lengo lake hasa ni kukurudisha nyuma na kukukomesha yaani akishindwa kukuroga wewe ataroga mke, watoto au yoyote aliyoko kwenye familia yako na akiwakosa wanafamilia atataka kukukomesha katika kazi unayofanya lengo lake hasa upate tabu, shida, maafa na dhiki ili usiendele.
 
Huo mkanda mzima uko wp ss
 
TAYAAARI wakimaanisha nn?
 
Yani nilipoambiwa mkanda mzima nilimanisha kuwa nilipewa simulizi za eneo lile kuwa kilimo cha pale kinahitaji uwe vyema uende kwa babu akupike mana unaweza kulima ukakuta mwisho wa mavuno umevuna kidogo na wengine huhamisha mazao ya mwenzie kwa njia za kichawi unaweza kuta mpunga umestawi ukajua hapa kwa hrka mbili hizi sikosi gunia 40 mwisho unajikuta unagunia kumi kingine unaweza shangaa Mamba anakuja Shambani kwako analaza mpunga wote ule kisha anaupulula hii niliishuhudia kwa macho yangu mwenyewe
 
Hapa kama kuna ukweli,nina mikorosho km 30 shambani kwangu inatoa maua mengi sana ila siambulii hata gunia moja
nasikiaga wakulima wa korosho wanahamisha Maua na matunda, waeza ona mkorosho wako una mauaa mengi ukajuwa mwaka huu umwe win..... ikifika wakati wa mavunoooo unatoka KAPAAaaaa
 
Uchawi huu ndio umerudisha nyuma maendeleo yetu hapa nchini. Asilimia zaidi ya 90 ya watu kwenye uzalishaji iwe kuchimba madini, kuvua au kulima wanategemea "ndumba" Wasilolijua ni kwamba UKIMTEGEMEA MUNGU ASILIMIA MIA atakulinda na huo uchawi. Hautakupata.
 
Kwann sarakasi na ulinfanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…